Taifa linajengwa na nani?

Taifa linajengwa na nani?

FeliCian

Member
Joined
Apr 22, 2008
Posts
12
Reaction score
0
Jamani ndugu zangu wapendwa wa JamiiForum.. Nimejaribu kusikia japo kwa ufupi tu na kuamua kuzima TV kwani kauli za Magufuli zimenikwaza!!! Hivi barabara zinazojengwa Tanzania kwa misaada toka kwa wahisani ni bure? Kama si bure ni nani wanatakiliwa kulipa deni kwa wahisani!!! Yeye kasema CCM ndo wanjenga!!!! CCM ni nchi gani na ina wananchi wangapi wanao lipa kodi?

MNIJUZE! Please
 
Ni kawaida ya Magufuli kujifagilia na kufagilia chama chake kuwa ndicho kinacholeta maendeleo ya nchi,na sio serikali,hata Igunga wakati wa uchaguzi mdogo,aliwaabia wana igunga kua wakimchagua mgombea wa cdm,hawatojengewa daraja la mbutu,ila wakimchagua wa ccm,watajenga daraja hilo,je ni halali kusema hivyo?
 
Back
Top Bottom