Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
TAIFA LIMEJAA MAJOGORI, NA NDIO MAANA TUMEKUWA MASKINI.
Tunapiga kelele kwasababu Watanzania wenzetu hatuwataki, tuna thamini majogori. Tuko tayari kumbeba jogori lakini sio Mtanzania mwenzetu.
Tumekuwa tayari kupotosha ukweli WA Mtanzania mwenzetu kisa tu majogori wametushika akili zetu.
Tuko tayari kuwapa vyeo majogori kisa wivu tu, eti huyu Mtanzania mwenzetu hawezi kitu ana hekima tu ila akipewa kazi hawezi, upuuzi mtupu, majogori yametushika pabaya.
Tuko tayari kumuua Mtanzania mwenzetu kwa kuchonganishwa na majogori. Yaani heri Mtanzania afe njaa kuliko jogori.
Eendeleeni kuwasikiliza majogori, mkija kushituka mnatawaliwa na majogori.
[HASHTAG]#Deogratius[/HASHTAG] Kisandu.
. ..........MTANIKUMBUKA...