umbwa yule anauza mchanga na mafuta ya karanga kana hana akili nzuri lakini sirikali ipo tu maaneeneer zake kisa anapeleka vijirushwa vya kuwapooza na kuwapumbaza. Ndiomaana Kagame alifutilia mbali huo ujinga aliwaambia Rwanda inahitaji viwanda na kazi lakini pia watu waanye kazi sio usanii usanii kwa mgongo wa dini.