britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,869
Huyu mwandishi anazua taharuki,ashughulikiwe..Wakenya milioni 1.4 hatarini kufa njaa!
Daahh !!. Mtani hawa jamaa hawa ?!.Mteja? wacha nikwambie maana yake.
Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu asiyepatikana huitwa MTEJA.
Aaaah! Rais wetu mteja.View attachment 1727637
Nadhani tunaelewa vibaya hicho kichwa; hatujaisoma article yenyewe but by definition kwao wao mtu asiyepatikana au kuonekana kwa muda fulani wao ndio wanasema MTEJA, bado sijaona hilo tatizo kabisa kama tafsiri yao ndio iko hivyo.Kenya wivu unawasumbua, wanamtamani sana magufuli sema hawana jinsi
Na waziri mkuu amesema Rais anachapa kazi, mlitaka mumuone Kariakoo?Hili gazeti linawalenga Wakenya, tuwaachie mipasho yao yasituumize kichwa Makamu wa Rais ameshasema Inchi ipo salama tusihofu.
Mahindi yetu vipi, bado wanagoma!?Wakenya milioni 1.4 hatarini kufa njaa!
Wa Tanzania tuna endesha maisha yetu kwa mihemuko reactionary sana, kwahiyo hilo sioni kama lina uongo wowote au matusi ni suala kujiuliza kwanini magazeti ya kwetu hawaandike kuhusu Raisi wetu ili wengine ndo waandike.Nadhani tunaelewa vibaya hicho kichwa; hatujaisoma article yenyewe but by definition kwao wao mtu asiyepatikana au kuonekana kwa muda fulani wao ndio wanasema MTEJA, bado sijaona hilo tatizo kabisa kama tafsiri yao ndio iko hivyo.
Bora wao wanawahesabu ila sisi ni zaidi ya hapoWakenya milioni 1.4 hatarini kufa njaa!