Mbuzimtu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 355
- 178
Tunahitaji kuwa na taifa imara na lenye umoja kuliko tunavyo hitaji kumpata rais wa nchi hii. Kauli ya kuwagawa watanzania inapaswa kukemewa na kila kiongozi mpenda nchi hii. Pia ni wajibu was kila mtanzania kuwapuuza wanaotaka kutugawa kwa misingi ya kidini,kikanda na kikabila.
Leo, nimesinoneshwa na kauli ya mmoja wa wanenaji katika viwanja vya jangwani pale alipoongelea "ukaskazini..........".
Tuungane kulaani na kukemea kauliza namna hii ndani ya nchi yetu. Pia kama MTU hajui cha kuongea, asipewe nafasi