Taifa kwanza!

Jul 4, 2011
14
6
Inauma na kusikitisha pale Watanzania tunapo jitenga katika makundi mbali mbali kwa kusudi la kufaidisha wachache badala ya kuendeleza taifa kwa pamoja. Kuna makundi mbali mbali yanatumia tofauti zetu za kichama, kidini na kikabila kuendeleza ajenda zao za siri. Wito wangu ni kwa Watanzania wote tuwe wamoja na kupinga kwa nguvu zote jitihada za kutu gawa katika makundi.

TAIFA KWANZA!
 
Back
Top Bottom