TAHLISO waionya Chadema

lakini ikumbukwe kwamba watu hawa waliitwa kutoa maoni yao wakakataa, sasa wanataka hata yale yaliyotolewa na watanzania wengine kwa uhuru na haki watu wayapinge ”alisema Nkinda [emoji16][emoji38] Retired Tindo
The bottom line is.... Hiyo Tume ni batili kwa vile haipo kwa mujibu wa katiba au sheria. Ndiyo maana hata hayo maoni Maza kadai siyo lazima wayakubali.... Ni kama vile anatufanyia hisani Watanzania.
 

Kesho itakuwa zamu ya Nani? Maana vyama 12 vimeshaongea, TAHILISO wameshaongea . Kwakweli CHADEMA Ina nguvu.
 
Em watulie
 
Naona tuna viwanda vya kutengeneza Wapumbavu....

Yaani bora ukae kitaa utabaki na Ujinga wako kuliko kwenda huko na kuwa Mpumbavu....

Mwalimu alisema Ujinga sio tusi ni kutokuelewa / ukieleweshwa utaelewa ila Mpumbavi ni kipaji au ni kama urefu au ufupi, nadhani alikosea upumbavu pia unafundishwa na hivi viwanda vimekuwa vingi sana hizi awamu chache zilizopita..., Uchawa umekuwa quality ya qualification....
 

Mbona wakati Ndugai anafurumushwa hukutoa huu ushauri kwa mwenyekiti wa CCM apokee maoni kinzani ya Spika ndugai.?
 
Huyo ni msomi na hajui kwamba katiba inatoa haki inayoitwa "uhuru wa kujieleza"...
 
hao watoto pamoja na kwamba wako chuo kikuu bado wajinga wajinga sasa sijui wanasoma kwaajili ya nini wakati elimu ni ya kuondoa ujinga,ndo maana wakirudi mtaani wanalialia ajira hakuna
 
Hivyo vitoto kama kitabu kimewashinda waungane na wenzao uvccm na green guard kuimarisha jeshi lao la panya road
 
Huyu ana tatizo au kuna mahali anafikiri watamfikiria.
 
hawa watoto wapuuzi sana sana tena sanaa!hao watanzania walioipokea hyo report ni wa kina nani??waache upuuzi!waseme wao ndo wameipokea kwa mikono miwili lakini wasiseme watanzania wote!pumbaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…