RWEYONGEZA MUTTA Member Joined Oct 12, 2012 Posts 52 Reaction score 10 Jan 27, 2013 #1 Jamani waajamvi kuna mtu kanambia kuwa matahira hawanaga visogo na kwa tathmini yangu nikikutana na matahira naproove hivyo jamani ninyi mnaonaje!?
Jamani waajamvi kuna mtu kanambia kuwa matahira hawanaga visogo na kwa tathmini yangu nikikutana na matahira naproove hivyo jamani ninyi mnaonaje!?
prospa JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 554 Reaction score 157 Jan 28, 2013 #2 jitazame mwenyewe kwanza
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Jan 28, 2013 #3 Kwani kisogo ni nini?
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Jan 28, 2013 #4 prospa said: jitazame mwenyewe kwanza Click to expand... Mmmmmmh ahaaa ahhhaaaahhh !!!
A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,191 Reaction score 320 Jan 28, 2013 #5 RWEYONGEZA MUTTA said: Jamani waajamvi kuna mtu kanambia kuwa matahira hawanaga visogo na kwa tathmini yangu nikikutana na matahira naproove hivyo jamani ninyi mnaonaje!? Click to expand... hebu upload picha yako inayoonesha sehemu ya kisogo tuone kaa unacho or huna, coz jibu la swali lako linategemea sana kama unacho kisogo coz ka huna basi jibu litakuwa 'yes' otherwise ni "BIG NO'
RWEYONGEZA MUTTA said: Jamani waajamvi kuna mtu kanambia kuwa matahira hawanaga visogo na kwa tathmini yangu nikikutana na matahira naproove hivyo jamani ninyi mnaonaje!? Click to expand... hebu upload picha yako inayoonesha sehemu ya kisogo tuone kaa unacho or huna, coz jibu la swali lako linategemea sana kama unacho kisogo coz ka huna basi jibu litakuwa 'yes' otherwise ni "BIG NO'
Zatara JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 716 Reaction score 512 Feb 2, 2013 #6 prospa said: jitazame mwenyewe kwanza Click to expand... JF kuna majibu ya haraka, unetengeneza jumamosi yangu, thanks
prospa said: jitazame mwenyewe kwanza Click to expand... JF kuna majibu ya haraka, unetengeneza jumamosi yangu, thanks