Taharuki NSSF

Hata Fao la kujitoa hakuna. Ukienda wanakupa form za fao la kukosa ajira ukiwauliza unaambiwa wewe ni skilled labour Hupewi pesa yako yote . Eti unskilled labour peke yao ndio wanapewa michango yao yote!
 
Hata mimi sijalipwa pensheni yangu toka Serikali Kuu inayotoka LAPF. Tunadai haki zetu na siyo fadhila.
 
Toa tafsiri ya taharuki acha kurukaruka
 
Pensheni shida kwa wastaafu ,bado kidogo tu na mishahara ya watumishi itakuwa kasheshe chini ya uongozi wa mtukufu malaika wa chato Jiwe .We are on the right truck.
 
Bado watu wa Fao la Kujitoa ifanyike kitu kama hii.
 
watulie tu bank clearance huchukua siku 2.5-3 so wawe na subra watapata chao
 
NSSF na mashirika mengine kama PSPF ni wachumia tumbowakubwa. Wao wanaangalia masilahi yao binafsi huku masilahi ya wazee wakiyalalia mlango wazi. Wapuuzi wakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…