Juma tano saa tatu nitakuwa kisutu ,,kufungua kesi kwa sababu mshana jr anachukua avatar za watu na kudharirisha. Bila kupata ridhaa ya mwenye avatar ,,nahitaji mawakili