luvcesy Member Joined Apr 18, 2014 Posts 99 Reaction score 37 Jun 17, 2015 #1 Kuna kampuni inajiita Credit Saccos inatoa mikopo online naombeni kwa wanaoijua vizuri maana nimekuja hapa palipo address yao hakuna kampuni kama hiyo. Nimejiribu kuwasilian nao kwa namba zao wakipokea hawatoi exactly the place walipo. Tuwe makini maana inaoneka hawa jamaa ni hewa.link yao hii hapa http://www.creditsaccostz.wapka.mobi
Kuna kampuni inajiita Credit Saccos inatoa mikopo online naombeni kwa wanaoijua vizuri maana nimekuja hapa palipo address yao hakuna kampuni kama hiyo. Nimejiribu kuwasilian nao kwa namba zao wakipokea hawatoi exactly the place walipo. Tuwe makini maana inaoneka hawa jamaa ni hewa.link yao hii hapa http://www.creditsaccostz.wapka.mobi
Ghosryder JF-Expert Member Joined Jul 6, 2014 Posts 10,708 Reaction score 4,577 Jun 17, 2015 #2 bora ulivyostuka, wasanii hao.
Mwalupale JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,048 Reaction score 676 Jun 17, 2015 #3 Hao wezi muda mrefu. Ulikuwa hujui
luvcesy Member Joined Apr 18, 2014 Posts 99 Reaction score 37 Jun 18, 2015 Thread starter #4 Serikali inalichukuliaje hili suala maana najua watu wengi sana watakua wamelizwa kwa jinsi ilivyo rahisi kujipatia pesa kwa hawa matapeli
Serikali inalichukuliaje hili suala maana najua watu wengi sana watakua wamelizwa kwa jinsi ilivyo rahisi kujipatia pesa kwa hawa matapeli