exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,374
- 4,087
Simu yangu ilipatwa tatizo la kuto vibrate nikapeleka kwa fundi mazingira niliyo peleka skua na uwenyeji nilikua safarini fundi alitengeneza vizuri tatizo likaisha tena kwa mda mfupi tu, zimepita siku 3 tangu aitengeneze sasa jana nikajalibu kupiga camera ikaleta ukungu hadi nikashtuka nikajalibu kuiweka sawa nilivyo zoea ikawa vilevile nikapeleka kwa fundi akaifungua kakuta camera sio ya cm aina hii # dah jamani mafundi nalia na nyie kwanini msiwe waaminifu? tatizo la vibtate lilikua dogo sana fundi ameniachia tatizo kubwa sana.