Tahadhari na vikao bubu

Tahadhari na vikao bubu

Zack

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
18
Reaction score
3
Tahadhari kwa wale mnaudhuria vikao bubu vya serikali za mtaa,hii ni baada ya mwenyekiti kumpiga mjumbe mmoja mtama kima cha ndama na kumfanya mjumbe huyo kuwahishwa hospitali akiwa ajielewi,hii ni baada ya kupinga mahesabu ya mwy/kiti.
Ushauri; jihami na bodyguard kwenye vikao vya mahesabu.
 
hahaha, du? kima cha ndama, uyo mjumbe atakua mzima kweli na magonjwa tunayotembea nayo sku iz?
 
Back
Top Bottom