jamani kuweni macho na taksi za juu kwa juuu pia usidhani huyu dereva mzee ndio wa maana wengine ni afadhali ukutane na chui angalia stahili aliyotumia mi nimechoka ooh kijana wangu kumbe naye ni jambazi. this is dar es salaam wazee nao ni majambazi.
ushauri tuu kwa kamanda kova taksi zote rangi moja zipigwe na manamba ya ubavuni makumbwa lakini kama kuna mwenye mchango mwingine naomba achangie katika hili kudhibiti maana matukio hay si mageni.
Nilichukua teksi tena dreva ni babu kabisa wa kiislaamu
Reminds me of mtu mzima ovyoooooNilichukua teksi tena dreva ni babu kabisa wa kiislaamu...alinotolea maneno ya kiswahili ya ajabu ya matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa
In general,safety percentage in dar is dropping rapidly,dont trust anybody easily.
Yeah Taxi drivers Bongo hawaaminiki. Kuna dada mmoja yeye alikubwa na umauti kabisa kwani dereva alimpa kitu kama mwanasesere na akamlazimisha amunyonyeshe na inaonekana mwanasesere alinyonya damu yote na dada yule kafa. Ni washirikina pia. .
Leo nimejisikia kufukua makaburi. Castr hebu angalia tarehe ya hii reply yangu. hahahahaahhahah. hii ilikuwa enzi za Jamboforum. Sijui huyu baba hadi leo yupo hapo au alishaacha kazi ya teksi dreva.jamani kuweni macho na taksi za juu kwa juuu pia usidhani huyu dereva mzee ndio wa maana wengine ni afadhali ukutane na chui
Mwenzangu "ume click" penyewe ni kweli hawa madreva wazee sio watu. Mie mwenyewe yamenikuta 13/6/2009 ingawaje sio ujambazi lakini nimelinganisha kama ujambazi. Nilichukua teksi tena dreva ni babu kabisa wa kiislaamu hapo Barabara ya Bibi titi karibu na geti la CBE, yule babu nikamwambia anipeleke Magomeni Mikumi, akasema 4,000/= lakini cha ajabu tulivyofika pale nilipokuwa nakwenda nikampa 10,000/= yule babu akakata 5,000/= nikamwambia si tumepatana 4,000/= .eeee bwana alinotolea maneno ya kiswahili ya ajabu ya matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Kwa hayo yaliyonikuta na mie nakazia kwamba madreva wazee tusiwashobokee kabisa hawana nidhamu