Waislamu wanamavitu ya ajabu ajabu tu
Ukiinywa unakuwaje? Unaongeza nguvu za kiume au.
Je, tunaweza kuu-judge Ukristo kwa tabia na mienendo ya nabii Tito?Waislamu wanamavitu ya ajabu ajabu tu
Weka picha ya muuza al kasusu tuoneSijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?
Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Longolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia watu maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.Ukiinywa unakuwaje? unaongeza nguvu za kiume au
Longolongo tu, nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ushawai kutumia mkuu?Longolongo tu, nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kuna mmoja nilimuuliza akaishia kuniambia “wewe kaffir unajua nini wewe?” na mimi kwa hasira nikawahamasisha wale waliomwita,{ni jamaa zangu} wafikirie kuhusu afya zao kwanza hizo chai sijui kasusu wanazokunywa wanajua zinavyoandaliwa? Pia, ushikaji wa tule tukombe twake muuzaji anavishika shika kila wakati huku maji ya kunawa mikono yake hana wanauchukuliaje?
Hakuna hata mmoja aliyenunua zaidi walimwambia aondoke nakumbuka jamaa aliniga jicho moja matata nami nikamwambia akajifunze usafi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk