Tahadhari: Lwandamina hana tabia ya kuacha kitu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
2,358
2,000
Kocha wa Yanga Mzambia Lwandamina hana tabia ya kuacha Kombe lolote lile anzia akiwa na Zesco ya kule kwao,Kila michuano anayoshiriki lazima abebe Kombe.

Na hata kwa Yanga itakua hivi hivi tu Tukianza na Hili na Mapinduzi linaloendelea Lazima litue Jangwani na baadaye litafuata la Ligi tuje tumalizie na Lile La Tff,Naimani hata la club Bingwa Afrika msimu huu lazima litue mitaa ya Twiga Pale.

Angalizo kwa hii Michuano ya Mapinduzi kuna kila dalili za Simba Kutaka kumkwepa Yanga ndo maana hata Waamuzi wameliona hilo na Simba Kuachiwa hata Magoli Ya offside.

Nahisi hata Lufunga alijifunga Makusudi ili Kumkwepa Yanga kwani wameshajua siku wakikutana na Yanga Kichapo kitakua kikubwa mnoo.

Kwa Yanga hii Mtani inabidi ujipange sana kwani sioni mtatokea mlango gani msimu huu pona yenu labda msiingize timu uwanjani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom