Tahadhari kwenu kinadada

Bu​jibuji​, wamekusikia hao hata wakijidai kunyamaza!
 
huo mtego tu
amevaa sana flat shoes hujamtaka kaamua kupandisha kichuguu chake
 
mdada anatembea kama ndama kiaje sasa navuta picha ina maana ana ruka ruka au?
 
hahHaha hapa najaribu kufikiria ndama anavyorukaruka sasa narudi kwa huyo mdada

mkuu sasa si bora huyo anaye rukaruka kama ndam na akabaki salama kuliko huyu ninaya mfahamu aliye anguka na kuvunjika taya!
 
kuna kiatu nyingine ukivaa na motion inabadilika lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…