Naam, Bwana Zitto Sikia haya ninayoenda kuandika hapa. Siasa zetu katika nchi za kiafrika ni zaidi ya Siasa. ujenzi wa chama si kazi ya lelemama kwanza inahitaji watu makini,pesa,mipango mkakati iliyomadhubuti na uwanja sahihi wa kufanyia siasa zenyewe.
Siasa zetu za kiafrika sio sawa na zile za nchi zilizoendelea, kwamba sera pekee zinaweza kumshawishi mtu akuunge mkono katika chama chako, hapa kwetu unajua vyama vyetu wafuasi wengi wanamatarajio ya mda mfupi na wanalenga kupata jambo flani kipindi flan, katika muktada huu utakuta Migogoro mingi inaibuka kwenye vyama hivi ambavyo havina rasilimali za kotosha mwisho mgogoro ukikomaa utakuta chama kinakufa kifo cha kawaida, na hapa sina maana chama kifutwe kwa msajiri.
Hakika kuna matarajio uliyonayo moyoni mwako lakini hayataweza kutokea katika siasa za ACT maana sasa wale waliokupokea wanahitaji mda ili waanze kipishana na wewe na hapo ndo utajikuta unakuwa Easy target. chama kikiyumba utakuwa unajiona unalojukumu la kurekebisha mambo na hapo zitto utakuwa hauna amani tena moyoni utakuwa unajutia yale yaliyotokea na yanayobeba historia ya maisha yako kisiasa.
Sasa jukumu unalo tena zito,kipindi hiki unapo angalia mbele kwenye uchaguzi mkuu ujao,hakika itakuwa ni kazi ngumu mno wewe kurudi bungeni katika kipindi hicho ijapokuwa unaweza ukadhani ni rahisi lkn nataka nikwambie kwamba si rahisi maana kazi uliyonayo itakuwa kukijenga chama na si kujenga himaya yako ndani ya ACT,Akina Mwigamba naweza kusema hakuna chemistry katinyako na Mwigamba na hilo litakuwa tatizo la msingi.Mwigamba anaamini katika mawazo yake na wewe pia, kamwe hamtaweza ku compromise pindi mkitofaitiana katika harakati zenu mlizo anza.
Safari hii uliyoianza ni tofauti kabisa na ile uliyoianza pale ulipokua na umri wa miaka 16. kipindi hicho ulipata mahanikio mengi ndani ya siasa na nje ya siasa, ulipewa nafasi na chama chako kutenda majukumu makubwa,lkn safari hii ukiwa na umri wa 39 umeanza safari mpya yenye mashaka mengi
Hivi maelengo ya ACT kama chama cha upinzani ni yepi? Ni kwa namna gani kitakuwa tishio kwa CHADEMA? Naomba kufahamishwa.Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
Zitto atakuja sana kumlaumu Kitila Mkumbo. Mambo yakianza kukwama tu Zitto ataanza kumtafuta mchawi wake. Na hapa ndipo Kitila Mkumbo atakapoanza kutofautiana na Zitto.
Anaamini atakijenga chama chake kwa hisani ya CCM, hiyo ndo turufu pekee aliyonayo. Lakini akumbuke wakiona jitihada zake zinakwama watamtupa kama kondom iliyotumika!
Duh leo bavicha naona hamjakunywa chai wala lunch, zitto kawamaliza kabisa maana mnapokezana tu kufungua uzi wake, mara Facebook mara twitter mara Jf, bundle leo zinalipwa ufipa kwa foleni,
Inaonekana unatumiwa na CCM, Kwa nini useme ACT itakuwa tishio kwa CHADEMA? Unatakiwa kujenga hoja. Kwani kuna mashindano ya vyama?Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
Hakuna watu wenye kampeni mbaya na hatari kama wachaga, jiulize hata serikalini zile nafasi nyeti wameshika wao hasa za lesa. Wafanyabiashara wengi kwenye majiji ni wachaga. Hata barabara ya lami ilianza Dar- Moshi-Arusha. Jiulize ni kwanini. Kwahiyo ogopa sana hawa wachaga hata Nyerere walimsumbua sana akina Mtei, Mareale. Vilevile angalia vyama vingi vya upinzani wenyeviti wao ni toka Kilimanjaro. Mbatia, Mbowe, Mrema, Peter Mziray sijajua huyu Makaidi anatoka mkoa gani. Na wachaga hata walioko ccm tu wanapenda siku moja watoe Rais na wana umoja sana kuliko makabila mengine labda wanaowafuta ni Wahaya na Wanyakyusa. Makabila mengine hatuna huo umoja.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
Anaamini atakijenga chama chake kwa hisani ya CCM, hiyo ndo turufu pekee aliyonayo. Lakini akumbuke wakiona jitihada zake zinakwama watamtupa kama kondom iliyotumika!
Hivi maelengo ya ACT kama chama cha upinzani ni yepi? Ni kwa namna gani kitakuwa tishio kwa CHADEMA? Naomba kufahamishwa.