Mkuu nilifikiri wezi hawa ni wa kariakoo kumbe ni majuu na hao huwa hatuwawezi wako mbali sana na sisi ndio kwanza uko na mchakato wa vipengere vya kumdidimiza mlala hoi na tukimaliza hapo ndio tutakuwa na mashindano ya vazi la tangayika
Mkuu nilifikiri wezi hawa ni wa kariakoo kumbe ni majuu na hao huwa hatuwawezi wako mbali sana na sisi ndio kwanza uko na mchakato wa vipengere vya kumdidimiza mlala hoi na tukimaliza hapo ndio tutakuwa na mashindano ya vazi la tangayika
Km una i phone ni simple downloads icaughtU probayo yote yapo me cku iz ata nikitoka bafun mipicha kibao ya dem wangu kwenye e-mail kumbe anaangaika kufungua pasword ni nouma kaka!
Hiki nini umeandika jamaa'ngu...Siemens c25 is beat photo ? not beat. It not steal modern phone with android OS .Customer thiefman of Kinondoni manyanya will steal phone without OS only. so how you can catch thiefman ?
Nimecheka sana mkuu..unamaanisha wabongo ni wabishi kiivo?Nimeipenda hiyo app.
Ila kibongo bongo mwizi atakana tu
hata kama picha yake imetumwa kwenye email.
Siemens c25 is beat photo ? not beat. It not steal modern phone with android OS .Customer thiefman of Kinondoni manyanya will steal phone without OS only. so how you can catch thiefman ?
Simu ya mkononi iliyokuwa imeibwa ilituma ujumbe mfupi na picha ya mwizi wa simu hiyo kuonyesha ndiye mmiliki wake.
Polisi katika eneo la Essex nchini Uingereza wanamtafuta mwizi wa simu hiyo aina ya HTC iliyoibiwa kutoka kwa koti la mwanafunzi mmoja alipokuwa safarini kuelekea nyumbani.
Mwenye simu alikuwa ameweka kifaa cha usalama kwenye simu hiyo ambacho kinaifanya simu kumpiga picha mtu anapojaribu kuingiza nambari ya siri au PIN mara tatu bila kufanikiwa.
Msemaji wa Polisi alisema simu hiyo ilimpiga picha mwanaume huyo alipojaribu kuingiza nambari hiyo bila kufanikiwa.
Barua Pepe ya mwanafunzi huyo ilituma ujumbe kwa polisi kuwaarifu kuhusu wizi huo.
Mshirikishe na mwenzio habari hii.
Source; BBC Swahili.