Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Hii dawa nimeambiwa inapatikana sana kanda ya ziwa. wanaume wanawawekea wake zao. sasa wewe jifanye upo soap soap na brotherman ,mtanashati n.k ukatembee na mke wa mtu ambaye amemwekea dawa.
inasemekena kuwa akishawekewa dawa hii basi mume hupaka pia ile dawa kwenye panga halafu anatafuta seheme anayoijua yeye anaenda kuchomeka chini lile panga. basi mke huyo akienda kutembea na mwanaume mwingine hawatoki. jamaa akiingia ndo ameingia. mpaka aletwe mwenye mke halafu aende kuchomoa panga huko alikochomeka. ni hatari sana kwa wazinzi.watu wameamua sasa kutumia mbinu mbadala baada ya kuona kizazi cha wazinzi kinazidi kuongezeka tu duniani.