Tahadhari kwa wanaokula kitimoto

Hata ya ng'ombe isipoiva ina madhara cha msingi tu ngubi aka mdudu aka noah aka mnyama aka kitimoto aive vizuri tu!
 
Mtu mzima unamtishia tegu! Umebugi meeeen. Leta vitisho vingine. Viva kitimotooooooo

Hahahaa, ugasa naona anatishia watu wazima nyau, nguruwe imelowekwa kwenye konyagi masaa mawili, akachomwa kwenye moto, akaongezewa na soy source, akanyunyiziwa na pililipili na limao, hapo tegu ataponea wapi? Ikumbukwe ppia ukitafuna hiyo nyama unashushia na ugali wa moto, baadae zinafuata value za kutosha, hivi huyo tegu ametumwa na jamaa mwenye kanzu ama?
 
Last edited by a moderator:
Ugasa ; hata ngamia ameharamishwa vile vile. Unaliongeleaje hili nalo?
 
Hiyo minyoo inaitwa Taenia solium, mzunguko wake (life cycle) ni kati ya nguruwe na binadamu. Kwa kawaida katika hatua za ukuaji wake hii minyoo hutengeneza tegu (cysts) zinazojulikana kitaalamu kama Cystercercus cellulosae kwenye misuli (nyama) ya nguruwe. Wakati mwingine hizi cysts huweza kutengenezwa kwenye ubongo (Neurocystercosis) au kwenye macho. Binadamu akila nyama ya nguruwe ambayo haijapikwa vizuri, hizi cysts huendelea kuwa minyoo ambayo ndo inajulikana kama Taenia solium. Hii minyoo hutengeneza mayai kwenye utumbo wa binadamu ambayo hutolewa kwenye kinyesi.
Kwenye maeneo ambayo hawatumii choo na ambayo nguruwe wanazurura ovyo kutafuta chakula, ni rahisi nguruwe kula kinyesi cha binadamu chenye mayai ya hii minyoo, na hivyo hii minyoo humwambukiza nguruwe na kutengeneza tegu (cysts) kwenye misuli yake na hivyo mzunguko kujirudia.
Hatari iliyopo ni pale binadamu atakapokula mayai ya minyoo hii, mfano, kutoka kinyesi cha binadamu aliyeambukizwa ambapo hupata tegu (cysts) kama zinazompata nguruwe. Hatari zaidi ni pale hizi tegu (cysts) zitakapotengenezwa kwenye ubongo (Neurocystercosis) ndo ubongo huathirika na hivyo kuweza kupata kichaa au kwenye macho ambapo huweza kupata upofu.
Cha msingi watu hasa waishio maeneo ya vijijini ambapo nguruwe wanaachiwa kujitafutia chakula watumie vyoo ili kukata mzunguko wa maambukizo kati ya binadamu na nguruwe na pia kwa wale wanaotumia nyama ya kitimoto wahakikishe inapikwa vizuri ili kuua vimelea vya hii minyoo (tegu) ambavyo inawezekana vikawa kwenye nyama.
Nawasilisha
 
Huyo mdudu ameshaharamishwa kitambo sana.....binaadamu tu ni wabishi...lkn tungojeee hv hv.....results zitatoka sooon.......!
Nimeaminu kuwa tunaweza kuwa na vichaaa wengi miaka michache ijayo...!
 
kila kitu kina matatizo mfano karne hizo nasikia wagiriki nyama yeyote walikula mara moja kwa mwaka tu , kutokana na madhara yake kwa binadamu , mimi sasa hivi mpaka naogopa kupata elimu ya afya kwani kila kitu ni tatizo , mfano kuna taarifa ya kitaalamu nilisikia ulaji wa mayai ya kuku wa kizungu kwa takribani miezi 18 ni hatari kwa ubongo unaokua , yaani nilichoka kabisa!!!!! , wanangu kila siku lazima niwapasulie angalau mawili mawili kwa mtoto . na nguruwe ana high protean lakini habari yake inatisha na wanasema angalau utumie jiko la gas kuliko mkaa , ili kuua hivyo vijidudu otherwise mutation inaendelea
 

hapa umebugi meen tutakula daima
 
Huyo mdudu ameshaharamishwa kitambo sana.....binaadamu tu ni wabishi...lkn tungojeee hv hv.....results zitatoka sooon.......!
Nimeaminu kuwa tunaweza kuwa na vichaaa wengi miaka michache ijayo...!

Ha,ha,ha,ha,ha,,,,,mkuu sio miaka michache ijayo!Mbona hata sasa tuna machizi kibao tu!Mfano mzuri humuhumu jf!
 
....kidumu changu kiliniasa nisile siku tunayokutanaaaa....kila nikutanapo nae nakuwa nshakula kg 1 (akinyonya denda anasema mie mtamuuuuuuuuuuuuuuuu) then tunapimana uzito usiku kucha akitoka amechokaaa,
 
Ule usile kufa kuko palepale.

Enjoy life maisha mafupi.
 
nitaacha kula huyu mdudu mpaka mabucha yoteee yafungweee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…