SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Naomba kutoa tahadhari kwa anae tarajia kuroot simu yake kwa kutumia Framaroot.
1--> Hakikisha simu yako ni original mfano kama ni tecno basi iwe tecno original sio copy,na nyinginezo zisiwe copy.
2-- Hakikisha simu yako ipo ktk orodha ya simu zinazo weza kuwa rooted na hiyo framaroot kwa kutembelea site yao www.framaroot.net.
3- kama umejaribu mara moja ikagoma,, ushauri wangu usijaribu tena.
Mimi nimmoja wa wahanga kutokana na uzi mmoja ulitupiwa jinsi ya kuroot simu kwa framaroot
Nilifanya hivyo kwa huawei G610, kilichotokea baada ya kumaliza hatua zote simu imekuwa ni kuzima na kuwaka tu.
Hapa najipanga kwa gharama za ku flash if possible.