Tahadhari kwa wale wapenda michepuko.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
TANGAZO MAALUM:

Kama unajijua una mchepuko na huwa aidha unaenda kulala kwake au analala kwako kuwa makini sana maana baada ya kupiga kimoko kale kausingizi katamu we unalala unajua na demu analala KUMBE WAPI!!

Sidechicks wanasubiri ukianza kukoroma tu wao wako bize na SELFIE ZA USHAHIDI...

Sasakama umeoa utakoma,siku ukimwambia ITS OVER utashangaa anakufowadia mipicha kama 9 hivi ya ghafla mkiwa mmelala kimahaba baada ya uchovu wa kulegeza chaga maskini ya Mungu huna habari unamwaga udenda huku unasikilizia utamu wa Oven aliyokupa halafu anakwambia

"THINK TWICE BEFORE I SEND THIS TO YOUR WIFE"

Na usiwachukulie poa Sidechicks,wana namba za wake zenu wamezitunza tu Tayari kwa Nyakati kama hizi..

Ukimwaga Ugali tu wao wanamwaga mboga..

SHKAMOONI SIDECHICKS wataalamu wa kuwa na BACK UP...

Ndo maana napenda mechi za gizani,kamwanga ka Selfie kakitokea tu nakurupuka na ngumi moja ya koromeo utajuta..

Msiseme sikuwambia..

BEDSELFIES zinakosti!!

C&P
 
Mimi ndiyo maana nawachapa kwenye bajaji au maporini na shuka zinakuwa za kwao wenyewe. Nikishapiga na kuchoka naondoka na kondomu yangu kwenda kutupa nikujuapo kwani ukimwachia yeye akaitupe anaweza kukuendea kwa babu akufunge ili uwe mgumba au usidinde kabisa kwa mkeo ila kwake yeye tu.
 
Back
Top Bottom