hata mchawi hawezi kukupa sumu unapomtembea anakufua nje ya nyumba yake ili kupoteza ushahidi Jk hawezi kufanya upuuzi huo Ikulu
Wewe huwezi kufanya huo upuuzi, usimsemee JK, hata mimi nilishawahi kumhisi kwamba hawezi kulazimisha kukaa madarakani ilihari kashindwa uchaguzihata mchawi hawezi kukupa sumu unapomtembea anakufua nje ya nyumba yake ili kupoteza ushahidi Jk hawezi kufanya upuuzi huo Ikulu
Kweli Hili ni la Muhimu!! Kwani Kuna Habari zimezagaa Kuwa Muheshimiwa Mwakiembe alipatikana siku Ya Engineers Day pale Mlimani City!! Sasa kwa Hawa watu walivyo Hatari Wanaweza Kutumia Muda Huo Muafaka!! Nadhani Ile Polonium 210, na 201 Hazijaisha wanaweza Kuzitumia Hapo!! Duh!! Nchi Hii ni Zaidi ya Tuijuavyo!! Chukua Tahadhari Kabla ya Tukio!! Ni Ushauri Tu!!
Wewe huwezi kufanya huo upuuzi, usimsemee JK, hata mimi nilishawahi kumhisi kwamba hawezi kulazimisha kukaa madarakani ilihari kashindwa uchaguzi
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.
Je na wewe unamwakilisha nani humu? Hapa ni sehemu ya kila mtu kutoa maoni yake si kutumwa na mtu inawezekana wewe ndiyo umetumwa kuwawakilisha watun humu.PIPIJOJO hujaenda DOM,au ndo umepewa jukumu la kuwakilisha humu jukwaani?
Pengine sina kumbukumbu nzuri, ni uchaguzi gani eti alioshindwa JK?Wewe huwezi kufanya huo upuuzi, usimsemee JK, hata mimi nilishawahi kumhisi kwamba hawezi kulazimisha kukaa madarakani ilihari kashindwa uchaguzi
‎"Mtatoka mtaenda mtarudi kwani mimi ndio Rais wenu
hamna mwingine wa kumpelekea matatizo yenu ila ni mimi"
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.