Siwapendi madalali mmepandisha gharama ya ardhi, nyumba, magari nkHabari zenu wakuu!
Najikita moja kwa moja kutahadharisha madalali wote kuwa umetokea mtindo ukitangaza kitu kuuza au kukodisha ( especially Nyumba) mtu anakwambia nirushie Picha na umueleze IPO maeneo gani! Baada ya kuona Picha, anakwambia kasoro badaa ya wewe kuachana nae, anaifuatilia personal! Then unajikuta amechukua bila wewe kujua na kwa kifupi anakuwa amekuchenga ki aina! Hiyo muwe makini ktk hilo!
kwani umelazimishwakununua???Siwapendi madalali mmepandisha gharama ya ardhi, nyumba, magari nk
Kazi ya dalali ni kuunganisha muuzaji na mnunuzi halafu yeye analipwa na wote kwa asilimia. Na sio kuifanya biashara ni yake na kupanga bei.kwani umelazimishwakununua???
Hakuna biasharaisiyokuwa na dalali hata ndoa ina dalali
Ni Dar tu ila huku Zanzibar ukifanya hivyo unapigwa jini tu.Kuna nyumba hazikaliki huku kwa watu kuwachenga madalali waliowapeleka.Habari zenu wakuu!
Najikita moja kwa moja kutahadharisha madalali wote kuwa umetokea mtindo ukitangaza kitu kuuza au kukodisha ( especially Nyumba) mtu anakwambia nirushie Picha na umueleze IPO maeneo gani! Baada ya kuona Picha, anakwambia kasoro badaa ya wewe kuachana nae, anaifuatilia personal! Then unajikuta amechukua bila wewe kujua na kwa kifupi anakuwa amekuchenga ki aina! Hiyo muwe makini ktk hilo!
Udalali/mashahidi ni mhimu kuwepo kwenye biashara,ni faida hata kwako..tuondolea udalali wako hapa mnapenda sana mteremko
HahahahaNi Dar tu ila huku Zanzibar ukifanya hivyo unapigwa jini tu.Kuna nyumba hazikaliki huku kwa watu kuwachenga madalali waliowapeleka.
Na kuna nyumba huku hazikaliki mpaka mtu anahama mwenyewe,dhulma mbaya