STUNTER hizi picha nyingi za ngono zinazosambazwa mitandaoni na kudhalilisha sana watu na kuleta usumbufu mkubwa kwenye familia na wahusika si kila mtu alipigwa kwa ridhaa yake! Kwahiyo bado ni muhimu kuwa makini unapoingia hayo maeneo
Katika jamii tunapaswa kujitahidi kwa gharama zote kuishi kwa amani bila wasiwasi na watu wanaotuzunguka.
Ikitokea unahisi kuna hivyo vitu, dunia inamajibu mengi ya jinsi ya kuving'amua.
1:Kama unasimu, unaweza kuipiga ukasogea maeneo ambayo unayahisi, na kama kuna kamera hasa yenye microphone kutakuwa na interference ya Electromagnetic fields na kusababisha intereference ya kwenye simu. Utagundua.
2:Kama hutaki kujichosha Amazon/Ebay utapata SPY CAMERA/MICROPHONE Detectors kwa bei rahisi tu.
Haya yote hayasaidii kikubwa ni kuwa na amani na watu wote ikiwezekana. Ila kwa anayehisi anafuatiliwa na hivi vitu, Google inakupa millions of options
Ila sasa sijui tutafanyaje maana unaweza kwenda hotelini umechoka na kazi za kutwa nzima (hasa sie wengine kazi za field) sio rahisi kukumbuka kuchungulia bulb, mweeeee!
Ila sasa sijui tutafanyaje maana unaweza kwenda hotelini umechoka na kazi za kutwa nzima (hasa sie wengine kazi za field) sio rahisi kukumbuka kuchungulia bulb, mweeeee!