mtoto wa pori
Member
- Jan 2, 2016
- 12
- 5
TAHADHARI
Kuna kampuni wanajiita Street knowledge sk
Wanadai wanaagiza Magari, spares parts na accessories nyingine kutoka Japan
Wanalipwa pesa na watu na vitu hawaleti ukiulizia vitu mzigo wako unapigwa tarehe tu inaweza fika hat miezi 5
Kuna mtanzania anaishi Japan anaitwa Saidi Yasin Kachingwe ndio mtuhumiwa mkubwa wa ameshalipwa pesa nyingi na watu wengi na hadi leo hii hakuna alichotuma, ana kesi nyingi watu wamemfungulia , Hawa ni matapeli ushahidi ninao waliotapeliwa nawajua hivyo natoa tahadhari kwa watu wenye nia ya kufanya biashara na hii kampuni
[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Majungu@workTAHADHARI
Kuna kampuni wanajiita Street knowledge sk
Wanadai wanaagiza Magari, spares parts na accessories nyingine kutoka Japan
Wanalipwa pesa na watu na vitu hawaleti ukiulizia vitu mzigo wako unapigwa tarehe tu inaweza fika hat miezi 5
Kuna mtanzania anaishi Japan anaitwa Saidi Yasin Kachingwe ndio mtuhumiwa mkubwa wa ameshalipwa pesa nyingi na watu wengi na hadi leo hii hakuna alichotuma, ana kesi nyingi watu wamemfungulia , Hawa ni matapeli ushahidi ninao waliotapeliwa nawajua hivyo natoa tahadhari kwa watu wenye nia ya kufanya biashara na hii kampuni
Unamanisha nini bro??Maj
Majungu@work

Pole sana, sisi watembea kwa miguu hatuna shida,
Asante kwa tahadhar
Hii taarifa ya 2016 mzee babaHizi taarifa za kwenye kitab cha usoo hatuzitaki mkuuu huku ni Great thinkers where we dare to talk openly huko uongo mwing sana