Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
mnakata sana umeme huku mbagala na kijichi kuna mini au mitambo imechoka
Utendaji wa kazi umeongezeka ktk mashirika ya Umma tofauti na kipindi cha nyumaRais wenu yupi? Kwa lipi alilolifanya mpaka astahili pongezi? Mbona wote wamechangia/wanachangia katika kuiangamiza TANESCO!?