nkondola amon
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 365
- 65
- Thread starter
-
- #61
Kuwa mwangalifu na ushauri unaotolewa hapa jamvi, kama kweli unampenda nenda naye taratibu hakuna binadamu aliyekamilika, nimeona kuna watu wanashauri umwache sikatai ila siyo katika hatua za mwazno kabisa ambapo huna ushahidi usio acha shaka.
Pia usisahau watu wengi siyo wote hutoa ushauri ambaye yeye mwenyewe akikutwa na jambo hilo hawezi kuutekeleza kwa namna yoyote. Suala la kumwacha mtu unayempenda hata kama akikosea huwa haiwi ghafla ni taratibu otherwise unataka kuchanganyikiwa, unaweza kurupuka kumwacha mpenzi wako halafu baadaye mwenyewe unaanza kumwomba msamaha kitu ambacho kina sound akward.
Cha msingi wanawake wengi siyo wote wa zama hizi wanafanana kitabia na katika mahusiano including ndoa sometimes ni kuvumiliana tu. Vile vile tafsiri ya mwenza wako ni kwamba ni mtu pekee ambae umeamua kuvumilia madhaifu yake na haina maana kwamba hana makosa au matatizo hapana au ni mzuri sana.
Pole sana mdogo wangu hapo jua kinaelekea kunukana soon,kwani wewe bado uko mtaani?kama unaweza mtembelee ukae nae na muongee kwa upole utajua kinachoendelea inawezekana ume-over look pia kwa jinsi vile unampenda,duh maisha yako kasi leo hii mdogo wangu [MENTION=99953][/MENTION] uko jamvini hapa una matatizo ya uhusiano ungekuja kwa kaka zako kimya kimya tukae kifamilia sawa haya msalimie
When some one loves nothing can keep them bizy enough not to chek wth u....apo kuna jambo...u jst b smart enough
Dah nampenda aisee!
Unataka ushauri wa nini kama huwezi kuachana nae?
Ushaachwa Wewe. Hawasemi hao
asante kwa ushauri nilishakamilisha hili zoez zaman sana na nilishafanya na uamuz maisha yanaenda sasa hv!!kumbuka rafiki fimbo ya mbali haiui nyoka,jaribu kumchunia na wewe kama mwezi hivi bila kumchunia uone kama atakutafuta,asipokutafuta mzukie ghafla bila taarifa mumbe kalale kwake kama wiki hivi utapata jibu.
Kwa hiyo huyo mdada uliyeenza nae chuo ndo anakufanya ushindwe kuwa na huyo mwingine?
Hapo huna kazi umemweka fokeni ujipata kibarua? Si utawajaza dcm
Kwanza jichunguze weee meenyewe na mchunguze mdada ulonae.... si ajabu insecurities zako zilimboa pia jua yeye ni binadamu anachoka na kazi za benki hizi kama ni teller wa kwanza kufika wa mwisho kuondoka
Hivyo usichukue maamuzi au kumjudge hadi uchunguze kwa kina na uzungumze nae
nilishafanya ushaur wako nilikuta mambo tofaut kabisa!nipo na maisha mengine nw!Kuwa mwangalifu na ushauri unaotolewa hapa jamvi, kama kweli unampenda nenda naye taratibu hakuna binadamu aliyekamilika, nimeona kuna watu wanashauri umwache sikatai ila siyo katika hatua za mwazno kabisa ambapo huna ushahidi usio acha shaka.
Pia usisahau watu wengi siyo wote hutoa ushauri ambaye yeye mwenyewe akikutwa na jambo hilo hawezi kuutekeleza kwa namna yoyote. Suala la kumwacha mtu unayempenda hata kama akikosea huwa haiwi ghafla ni taratibu otherwise unataka kuchanganyikiwa, unaweza kurupuka kumwacha mpenzi wako halafu baadaye mwenyewe unaanza kumwomba msamaha kitu ambacho kina sound akward.
Cha msingi wanawake wengi siyo wote wa zama hizi wanafanana kitabia na katika mahusiano including ndoa sometimes ni kuvumiliana tu. Vile vile tafsiri ya mwenza wako ni kwamba ni mtu pekee ambae umeamua kuvumilia madhaifu yake na haina maana kwamba hana makosa au matatizo hapana au ni mzuri sana.
nilishafanya ushaur wako nilikuta mambo tofaut kabisa!nipo na maisha mengine nw!