Tahadhari kabla ya hatari

nkondola amon

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
365
Reaction score
65
Habari za mapumziko wanajamvi!samahani nina kitu ambacho ningeomba ushauri,nina rafiki yangu wa kike nilimpata pindi tupo chuo kabla ya hapo alikuwa na mchizi wake ambaye aliachana nae baada ya jamaa kuwa dictator wa malovee akajigonga kwangu nikajishebedua nae mtto mpaka tumemaliza yeye anakaa moshi me dar kipnd tupe close in love tukawasiliana na wazazi wetu kila mmoja bahati nzur rafiki yangu amebahatika kula shavu bank moja dah yaani mwanzon kila akitoka job ananishtua tunabonga fuuureesh dah kadri cku zinavyoenda imekuwa co aisee anatumia namba nyngne ya cm bila kunijulisha nikimuuliza anasema nalalamika sana zile cm za me ndo natoka job hazipo usipomshtua wewe bac ukimuuliza anasema yupo busy na kazi anachoka sana,wadau nisaidie nifanye nn hapa coz naweza kumbwaga kumbe anachokisema ni kwel cjafanya uchunguz bado kama kuna mchepuko afu pia kuna mdada ameonyesha interest ya kuwa na mm ila nilimuambia nipo kwny uhusiano na mtu!ushauri wenu PLZ MATUSI HAYARUHUSIWI
 
dalili ya mvua ni mawingu
 
USINIGUSE nalielewa hilo ndo maana nimeshaanza kushtuka but cjafanya uchunguzi kujihakikisha kuna mchepuko!
 
Kwa hiyo huyo mdada uliyeenza nae chuo ndo anakufanya ushindwe kuwa na huyo mwingine?
Hapo huna kazi umemweka fokeni ujipata kibarua? Si utawajaza dcm

Kwanza jichunguze weee meenyewe na mchunguze mdada ulonae.... si ajabu insecurities zako zilimboa pia jua yeye ni binadamu anachoka na kazi za benki hizi kama ni teller wa kwanza kufika wa mwisho kuondoka

Hivyo usichukue maamuzi au kumjudge hadi uchunguze kwa kina na uzungumze nae
 
Mi sijaona kitu wala sijaelewa kitu labda nimesahau mawani yangu, sijui hata hivyo nimeyaweka wapi?
 

Mapenzi hayana kanuni unahitaji utafiti zaidi, ukimwacha bila sababu usirudi na sababu.
 

Yah nashukuru kwa ushauri wako mzuri nitafanya hvyo nione
 
Ameshapata mfanyakazi mwenzake huko benki
 
kumbuka rafiki fimbo ya mbali haiui nyoka,jaribu kumchunia na wewe kama mwezi hivi bila kumchunia uone kama atakutafuta,asipokutafuta mzukie ghafla bila taarifa mumbe kalale kwake kama wiki hivi utapata jibu.
Ndo maana nimeomba ushaur kabla ya hatari aisee!
 
Mimi ndio niko nae mkuu.nampiga pipe la maana alafu nina kazi,anadai wewe huna hata pesa ya sabuni kazi yako ni kumchafua tu.
 
Jiandae kwa kuambiwa Mimi na wewe basi. Na ukitaka kujua ninalo lisema endelea kumuuliza kila leo kwanini umebadilika? Hipo siku atasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…