Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie
Ni kweli Dena, ninajua mtoto mmoja wa mfanyakazi mwenzangu ameanza Chuo sasa. Yaani inauma sana, maana dawa isipopatikana unawaza huyo mtu ataoa kweli?
Siri nyingi zipo kwenye familia, nafikiri ni muhimu tukiwakumbusha watoto zetu juu ya uwepo wa watoto waliozaliwa na virusi mashuleni hivyo wajiepushe na ngono nzembe wakifikiri kwakuwa ni bikira maana yake ni salama.
hii ni kitu mpya aisee...inabidi kuifuatilia kwa makini
Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie
Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie
Ni kweli namjua dada mmoja ana 27, amezaliwa nao. Mama yake mlezi nafanya naye kazi, ndio alitupa story ya huyo mdada. Tena sasa hivi yupo mwaka wa pili SAUT. Huwezi kumjua, ila anatumia ARV.
bbie Dena Amsiinategemes huenfs hyo mtto alizaliwa na vijidudu vya HIV alivyopata kutoka kwa mama yake si kwa jili ya zinaa inatokea lakini sio sana.Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie
bibi Kaunga kama ndio hivyo basi ni hatari sana ohhh sorry.Ni kweli Dena, ninajua mtoto mmoja wa mfanyakazi mwenzangu ameanza Chuo sasa. Yaani inauma sana, maana dawa isipopatikana unawaza huyo mtu ataoa kweli?
Siri nyingi zipo kwenye familia, nafikiri ni muhimu tukiwakumbusha watoto zetu juu ya uwepo wa watoto waliozaliwa na virusi mashuleni hivyo wajiepushe na ngono nzembe wakifikiri kwakuwa ni bikira maana yake ni salama.
Hiyo hali ni kweli kabisa , na wala si uongo, mm ninaye mtoto wa hivyo na yuko form three sasa, wazazi wake walifariki wote, kwa kweli inaniumiza kichwa sana ninapomkuta kasimama na visichana, ilibidi nimpeleke kwa doctor akaongea naye, ilimpa shida sana kukubali lakini nashukuru Mungu ameelewa kwa sasa. Lakini sasa sisi ambao tumeachiwa hao watoto hatuna jinsi inabidi kuwalea , maana hatuwezi kuwatupa.
Huwa nakaa na kuwaza kuwa iko siku hata hawa ambao hawana maambukizi kwa kizazi kijacho wooote watakuwa wameambukizwa, maana huko vyuo wanakutana na wanaume na wasichana , YAANI NI KUOMBA MUNGU DAWA IPATIKANE LA SIVYO KIZAZI KIJACHO CHOOOTE KITAKUWA KIMEATHIRIKA.