Tahadhari 18+ pekee

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Wakali wa Swanga,Tanga,Undali na Malawi hawana chao.🙂
 

Attachments

  • 1398206673197.jpg
    47.7 KB · Views: 2,798
Kati ya watu ambao sitakuja kuwaamini maisha ni pamoja na waganga wa kienyeji. Kwangu mganga mkuu ni YESU TU.
 
Yesu ni kila kitu, Mungu ndiye aliyeumba hii dunia, vyote viijazavyo dunia ni mali yake, na aliviweka tuvimili na tuvitumie, ni rahisi tu kufanikiwa kwa njia ya halali, sali, funga na kutenda ya haki hakika Mungu hatokuacha, ng'ang'ana na Mungu hadi kieleweke. Mithali 8:18 -19 nanukuu maneno ya Mungu mwenyewe "Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Utajiri wa Mungu hauna masharti ya kumwaga damu ni utajiri wa kudumu sio wa muda mfupi, ushauri ni kufanya kazi kwa bidii na kumwomba Mungu akufanikishe, you will see the fruits of God.
 
Nikiangalia tahadhari hapo juu na picha uliyoweka naona kama hukutenda haki...
 

Ushauri murua kabisa. Je, umeokoka dada Pendaneni? Kama jibu ni ndiyo basi nakupa hongera sana.
 
Haya matangazo mengi ni wizi mtupu tena hawana hata majini wanayojitapa
 
Umewahi Isaka hiyo Huduma?

Sijawahi ila niliwakuta jamaa fulani wana joka la kibisa halafu wanawaambia watu we muulize kitu chochote atakujibu nikawa nawapinga pale pale, unajua waliniambia nini!? Waliniambia kuwa we kama huna nyota na sisi bora uondoke la sivyo tutakurushia jini, nikawaambia walirushe hilo jini! Hawa jamaa wanaodai waganga wa kienyeji wengi ni wahuni tu wala usije kuwaamini, mwamini mungu mmoja tu
 
Awo waganga wenyewe ni masikini wakutupwa Afu wanakupa eti utajiri kazi kweli kweli
 

HAAAAA HAAAA Aiseee Hongera kwa kuwa na Imani ya Mlima Sayuni. 😀:thumbup:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…