Tahadhali: Wizi wa Mb Halotel

Kwa simu Customer care desk ya hawa jamaa unawapata? Mbona ni shida kuwapata au wameboresha na sasa kupatikana si shida?
 
mkuu angalia simu yakonkama hauna auto backup zozote unazofanya pale unapiwasha data. natumja halotel lain ya chuo jana saa tatu usiku nimeweka 1100mb nimestream youtube mpaka nimechoka na now naendelea kuperud insta na jf bado bundle lipo la kuzid

Sometimes simu zetu zinafanya autoretrieve bila kujijua unakuta mb zinaenda tu
 
Kweli kabisaa nilijua Mimi tuu ni wezii aisee hapo hawali haikuwa hivi tena usiombe ujiunge cha wiki ndani ya cku moja kimeisha
 
Unatumia simu aina gani kiongozi, check updates zote ziwe off, na just try to limit the numbers of the running background apps..

If all of the above is clear basi there should be a bashite style, you better run.
 
So far sijapata hilo tatizo, poleni mnaopitia kipindi hicho
 

Mi nimesharudigaga airtel rasmi toka jana
 
inawezekana hizo mb unazodai unaibiwa ndizo nazopewa mimi maana kwangu najiachia kila sehemu bt bando langu haliishi,mpaka nahisi labda wamenisahau...
 
Ni kweli ni wezi, nimeunga mb 500 nimeingia online nimeangalia video moja ya dk 4 napata ujumbe "hauna mb za kutumi" hapo ni kwenye simu na sija download chochote na pia hakuna auto update ya app yoyote kwenye simu yangu
 
Mimi nliwahama pia kwaajili ya tabia hiyo nkarudi Tigo ila kwa jinsi tigo walivyozipunguza Mb hainabudi kurudi tena Halotel.
 
HALOTEL WAMECHOKA, WALIANZA VZR, SASA HV HATA BANDO ZA CHUO ZIMEPUNGUZWA. HAWAFAI KABISA.
 
Sijawahi ona mtandao unaoiba kama Halotel naitafuta laini ya ttcl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…