Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒstakiii
Nimesimama sasa mnichambe..πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… nyie lenu moja nyie
Mwenzio kanionea huruma kukukosa!. We ndo kwanza waniambia ati we kimbiakimbia tu🀣🀣
Hiyo komenti yako imenichekesha balaa Ni kama mtoto anakimbia lkn sindano lazima achomwe tu..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Natafuta wakumgawia au ni mrudishe kwa Bibi ake
Sidhani kama kuna mwingine atamuweza zaidi yako wifi usimfanyie hivyo kaka yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈ
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…