ew!!! Naomba tafsiri.Rowin
الهجمنس تغير سشيلمةس
Paula Paul
نحن تتركب ،من الانجليزي
Hawachi
اختي لا تزوجي ام كان
Zoë
اكرب و ان كان اسم و اخواته
Saint Anne
البنت صغيرة جيدا،لكن اشتغل محل في طبيب.
التالي........
Nitakupa na kitabu kabisa usome, usijali.ew!!! Naomba tafsiri.
DADEKI..😅Rowin
الهجمنس تغير سشيلمةس
Paula Paul
نحن تتركب ،من الانجليزي
Hawachi
اختي لا تزوجي ام كان
Zoë
اكرب و ان كان اسم و اخواته
Saint Anne
البنت صغيرة جيدا،لكن اشتغل محل في طبيب.
التالي........
Ataniibia sasaWoooooozaaaaaaaaaaa.... KENZY njoo huku ujionee mwenyewe
Shukran sana Pacha wa mie. 🙏🙏🙏Nataja wengi
Shadeeya
Mdada mstaarabu kama pacha wake hapa 😊
Sanchez magoli
Mvivu sana wa kuchat
chaliifrancisco
Kada mtiifu wa #YNWA anaweza akafa huyu kwa ajili ya team yake
SHIMBA YA BUYENZE
Mstarabu lakini nahisi kama mgomvi huyu
The Monk
Hana maneno mengi
Zoë
Mbishi huyu,akisimamia kitu tena kikiwa kinahusu utetezi wa wanawake anaweza kubishana na JF nzima
Nitaendelea....
😂😂😂😂😂😂ati ninimayai..😅
Hahahahahaha😂😂angalia usije ukamsahau naniliuuu🏃♀️
[USER=329329]ledada
Dada fulani hivi munene lkn cute..😉
Ukizubaa nakufanya unakuwa mchepuko wangu..😜
wa stendi
Fujo yumo,mikwara yumo,utembezi yumo,mtu anaeongea mpk mishipa inaonekana..😂
Rebeca 83
We dada nakuogopa!.. maana ulishawahi nichamba nikachambika😂
ila mpk mtu akuchokoze ndo yanaamka ya kwenu..😅
Mama Debora
Mlezi..
ledada
Dada fulani hivi munene lkn cute..😉
Ukizubaa nakufanya unakuwa mchepuko wangu..😜
nameless girl
Machepele..😂🏃
Ha ha! Mkuu usitake niambia hujawahi kuwa muangaliziaji huko shule ya msingi..Majina yote unayajuaje asee..
[emoji23][emoji23]namfahamu sijui nimuiteHa ha! Siwezi msahau.. na wala simtaji anajijua usije mrushia makombora ya nyuklia..[emoji12]