Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Hii kali....
 
Hahahahaha, ila pia kuna kakikundi kanapenda hizi story
Tatizo kubwa lilianza pale vikundi vilipoanzishwa

Unafiki ukaanza, mtu anaenda PM ya mshikaji au manzi kumbe anaenda kumpeleleza ili apeleke taarifa kwenye kikundi chake

Selfika ilikuwa si salama kumpa mtu taarifa zako au hata namba ya simu.

Tulioufahamu huu mchezo tukabaki neutral kulinda heshima zetu wapelelezi walipokuja PM
 
Acha uogaa weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF mbna nyepesii sana.

Hahah mimi sina uoga kabisa na jf naimudu vizuri kabisa ndio maana nipo mpaka leo.

Lakini mimi ni mtu ninayependa kuheshimiwa hususani na watu ambao wananijua nje ya hapa. Kwa sababu hiyo ndio hadhi yangu na nina stahili. Hii inanipelekea kujiepusha kukutana na wehu.

Mimi sio mtu ambaye naweza kujitoa ufahamu kiasi kwamba nudes zangu kweli zivuje au mambo yangu ambayo hayakupaswa yawe hadharani yawe hadharani halafu nijidai kama vile sijaumizwa. Labda hayo mambo yawe sio ya kweli ila kama ni ya kweli sio siri nitakuwa nimeumizwa sana maana mimi nina heshima yangu ambayo ikivunjwa ni lazima nione aibu na sio kujitia roho ngumu kukomaa huku moyoni najua yaliyo sambazwa ni kweli na huyo mtu tunajuana in person kweli.

Kati ya somo nililofeli vibaya ni kukumbatia aibu na maumivu na kujidai walaaa sijaumia dear.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…