TAG huwa wanavaa kofia kwenye ibada kana waislamu? Naona wamevaa kofia kwenye ibada.

Kwa kufichiana uovu hamjambo kwa hili liko wazi hivi mnajitia hamulioni? Eti mzushi star TV imeonyesha mwanzo mwisho TAG wakiwa na kofia ibadani .Walokole wa TAG wengi je ni umaskini mwingi kuwa hamna TV au ? .Kifupi ndio hivyo Leo TAG watu walikuwa ibadani na kofia vichwani Kuanzia Askofu mkuu mheshimiwa Barnabas Mtokambali.Ninachoweza kusema kanisa limebadilika Sana Katika miaka hii 80 ya toka lianzishwe .Limeenda kusiko.Wangefufuka waanzilishi was TAG wakute watu wako ibadani na vikofia kama waislamu wangewatandika makofi.
Aisee we jamaa ni mbishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hayo si yalikuwa maadhimisho? inawezekana ni sehemu ya sare ya maadhimisho!!
Tatizo Sio sare Ni kofia Mtu anaomba Mungu huku katundika kofia kichwani anasifu na kuabudu huku katundika kofia kichwani,kipindi Cha mahubiri na kofia kichwani.Yule aliyehubiri ambaye Ni mkuu wa makanisa ya kipentecoste duniani na mkuu wa kanisa la Pentecostal Assemblies of God la kanada anaujua upentecoste na aliusimamia kibinafsi aligoma kuvaa kofia ibadani Hizo sare ziko poa tu swala Ni kofia kwenye ibada.Hata Wakristo wa dini ukisema tuombe kitu Cha kwanza anachofanya Ni kuvua kofia.Pale hakukuwa na adabu kabisa unakuta Hadi Askofu anaomba katundika kofia kichwani na wachungaji nao wamekomaa tu na vikofia vyao wakati wa maombi hakuna nidhamu wala adabu mbele za Mungu
 
Aisee we jamaa ni mbishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Walichofanya sicho.Huwezi kusifu na kuabudu Mungu ukiwa na kikofia kichwani Ni upagani.Kwenye kitabu cha ufunuo Mbinguni wazee 24 wamevikwa kofia za taji na Mungu ikifika kusifu na kuabudu Mungu wanavua kofia zao.Kwenye hayo maadhimisho watu walikuwa na vikofia vyao vichwani wakisifu na kuabudu Mungu.Upagani mtupu
 
Walichofanya sicho.Huwezi kusifu na kuabudu ukiwa na kofia kichwani Ni upagani.Kwenye kitabu cha ufunuo Mbinguni wazee 24 wamevikwa kofia za taji na Mungu ikifika kusifu na kuabudu Mungu wanavua kofia zao.Kwenye hayo maadhimisho watu walikuwa na vikofia vyao vichwani wakisifu na kuabudu Mungu.Upagani mtupu
Teh , ushasema maadhimisho
So ilikua kama sherehe fulan sio typical ibada sijui umenipata
 
Teh , ushasema maadhimisho
So ilikua kama sherehe fulan sio typical ibada sijui umenipata
Kulikuwa na muda wa kusifu na kuabudu hapo kikofia hakitakiwi cha Aina yeyote kuvaliwwa kichwani kiwe kibarghashia cha kiislamu au kofia za wahuni wa mitaani au ya aina yoyote
 
Tanzania Assemblies of God Naona wako ibadani kwenye uwanja wa shehe Amri Abeid Arusha ibada inaendelea inaonyeshwa live Star TV Hadi Askofu mkuu wa TAG katandika kofia kichwani ila mzungu anayehubiri yeye naona kagoma kuivaa akijua Yuko ibadani.Lakini viongozi wengi wa TAG naona wamelamba kofia .Hivi TAG wao nao huvaa kofia ibadani Kama waislamu?
Kama wewe si muumini wa madhehebu hayo, kinakuwashawasha nini kujua wanayoyafanya? Na ukijua kama wanavaa kofia au la, halafu iweje? Hapo hapo si ungeweza kuwafuata na kuwauliza wafanyavyo na ukapata habari ya uhakika? Hebu tuwe tuna-'discuss' vitu vyenye tija.
 
Wakristo huwa tunasali popote Sio lazima uwe muumini wa kanisa ulipoenda kusali.Ukienda na kofia kichwani unaambiwa vua kofia Kama umevaa
 
Wakristo huwa tunasali popote Sio lazima uwe muumini wa kanisa ulipoenda kusali.Ukienda na kofia kichwani unaambiwa vua kofia Kama umevaa
Kwanini uteseke ndugu?
We pita zako, waachie waendelee na mambo yao. Kidume umekomaa kweli kweli kwa ajili ya kofia!
 
Tanzania Assemblies of God Naona wako ibadani kwenye uwanja wa shehe Amri Abeid Arusha ibada inaendelea inaonyeshwa live Star TV Hadi Askofu mkuu wa TAG katandika kofia kichwani ila mzungu anayehubiri yeye naona kagoma kuivaa akijua Yuko ibadani.Lakini viongozi wengi wa TAG naona wamelamba kofia .Hivi TAG wao nao huvaa kofia ibadani Kama waislamu?
Ile ilikuwa sherehe ya miaka 80 tangu kuanzishwa
 
Kofia haijawahi kuwa na shida wewe ndo unashida nani kakwambia kuvaa kofia ibadani dhambi?usilete mitazamo yako na hekima za kibinadamu ktk mambo ya imani wala kofia haimzuii Mungu kufanya makusudi yake
Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom