Mie bwana toka subtitles zianze kutoka kwa wakorea,wajapan,na wachina series zao zinanikuna haswa na wapi fast hawanaga poteza poteza muda na waigizaji wengi ni vijana dhidi ya WAZEE wenye system kubwa ya maisha au kazi za western kwa sasa siangalii nilipita shule za kayumba. Na nahitaji maneno mengi ya lugha ya kiingereza