Tafuta pesa uheshimike

Tafuta pesa uheshimike

tamu 3

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
88
Reaction score
216
Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji

Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa.

Wenye pesa hawahitaji kujieleza wala hawana maelezo mengi, na bado wanaeleweka tu.

Kwenye kikao cha familia wewe kama huna pesa na hata kama wewe ni mkubwa toa maelezo utoavyo, utasikia hebu sasa kaa chini tumsikilize mdogo wako kutoka Wang'ing'ombe anasemaje.

Kwenye misiba na sherehe kama huna pesa utachanja Kuni, utatafuta viti na turubali.

Kama unadhani Mwenyekiti anawasimanga wasio na pesa fanya utafiti mdogo kwenye vikao vya familia, dili za biashara, harusi, misiba.

Mwenyekiti wenu sina uhakika kama hali hii pia ipo kwenye kutongoza.

Anyway, mwanaume pamoja na mambo mengine tafuta pesa, upunguze kujieleza kwenye vikao vya ukoo na familia. Tafuta pesa izungumze kwa niaba yako, wanasema money talk, tafuta pesa ikurahisishie kupata pesa, tafuta pesa ikukamilishie deal zako, tafuta pesa nayo pesa itakutafutia na kukupa unachokitaka.

Tafuta pesa hata ukifa ukiwa umeoa wanawake 6 hilo kanisa lako linalopiga vita ndoa za wake wengi watakuja kukuzika kwa heshima zote. Pesa inapiga upofu hata Sheria za kanisa.

Nasema uongo ndugu zangu wanaume?

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
 
Sasa ndio utusimange tusiokuwa na fedha.
Katika vikao vya Ukoo na Familia sina kiherehere kabisa tena sichangii hoja yoyote kwasababu najua madogo na vijisenti vyao vya kununua mboga wanajifanya wanajua kila kitu.
 
Ushauri wa kutafuta pesa nitauchukua kwa top cream 1 mpaka 10 ya Tz tu , nimechoka kuchukua Ushauri kwa apache alolo kama wengine tu.🚮
 
Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji

Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa.

Wenye pesa hawahitaji kujieleza wala hawana maelezo mengi, na bado wanaeleweka tu.

Kwenye kikao cha familia wewe kama huna pesa na hata kama wewe ni mkubwa toa maelezo utoavyo, utasikia hebu sasa kaa chini tumsikilize mdogo wako kutoka Wang'ing'ombe anasemaje.

Kwenye misiba na sherehe kama huna pesa utachanja Kuni, utatafuta viti na turubali.

Kama unadhani Mwenyekiti anawasimanga wasio na pesa fanya utafiti mdogo kwenye vikao vya familia, dili za biashara, harusi, misiba.

Mwenyekiti wenu sina uhakika kama hali hii pia ipo kwenye kutongoza.

Anyway, mwanaume pamoja na mambo mengine tafuta pesa, upunguze kujieleza kwenye vikao vya ukoo na familia. Tafuta pesa izungumze kwa niaba yako, wanasema money talk, tafuta pesa ikurahisishie kupata pesa, tafuta pesa ikukamilishie deal zako, tafuta pesa nayo pesa itakutafutia na kukupa unachokitaka.

Tafuta pesa hata ukifa ukiwa umeoa wanawake 6 hilo kanisa lako linalopiga vita ndoa za wake wengi watakuja kukuzika kwa heshima zote. Pesa inapiga upofu hata Sheria za kanisa.

Nasema uongo ndugu zangu wanaume?

#boychildadvocate #relationship #marriage #NDOA #talaka #wanawake #wanaume #women

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Huu msemo wa tafuta pesa sijawahi kuuelewa,pesa unatafuta wapi na huna kazi wala mtaji wa biashara? Au kuna sehemu ya kuzitafutia hizo pesa mimi sipajui.
 
Sasa ndio utusimange tusiokuwa na fedha.
Katika vikao vya Ukoo na Familia sina kiherehere kabisa tena sichangii hoja yoyote kwasababu najua madogo na vijisenti vyao vya kununua mboga wanajifanya wanajua kila kitu.
Afadhali wewe, mimi hata kwenda siendi.
 
Hakuna mtakachoniambia ikiwa nina uhakika wa kunywa bia daily kwangu ni utajiri na unatosha kabisa sitaki kashkash za kutekwa Kama Mo ,mwisho niwaache ndugu zangu kisa ujinga ujinga .
 
Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji

Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa.

Wenye pesa hawahitaji kujieleza wala hawana maelezo mengi, na bado wanaeleweka tu.

Kwenye kikao cha familia wewe kama huna pesa na hata kama wewe ni mkubwa toa maelezo utoavyo, utasikia hebu sasa kaa chini tumsikilize mdogo wako kutoka Wang'ing'ombe anasemaje.

Kwenye misiba na sherehe kama huna pesa utachanja Kuni, utatafuta viti na turubali.

Kama unadhani Mwenyekiti anawasimanga wasio na pesa fanya utafiti mdogo kwenye vikao vya familia, dili za biashara, harusi, misiba.

Mwenyekiti wenu sina uhakika kama hali hii pia ipo kwenye kutongoza.

Anyway, mwanaume pamoja na mambo mengine tafuta pesa, upunguze kujieleza kwenye vikao vya ukoo na familia. Tafuta pesa izungumze kwa niaba yako, wanasema money talk, tafuta pesa ikurahisishie kupata pesa, tafuta pesa ikukamilishie deal zako, tafuta pesa nayo pesa itakutafutia na kukupa unachokitaka.

Tafuta pesa hata ukifa ukiwa umeoa wanawake 6 hilo kanisa lako linalopiga vita ndoa za wake wengi watakuja kukuzika kwa heshima zote. Pesa inapiga upofu hata Sheria za kanisa.

Nasema uongo ndugu zangu wanaume?

#boychildadvocate #relationship #marriage #NDOA #talaka #wanawake #wanaume #women

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Unaongea tu tafuta pesa tafuta pesa,husemi kwa njia ipi inayo sababisha pesa nyingi hapo ulipo wewe mwenyewe utakuta huna pesa. Aaaah
 
Sasa wote wakiwa na hela nani ata chanja kuni? Hahahaha.
Lakini pia kiwango cha hela huzidiana kwahiyo yule atakaye kuwa na chache kwenye familia ata tumwa tu. Kuna familia wote ni matajiri lakini wana zidiana mfano kuna jamaa ana uwezo wa kununua eneo la milioni 900 lkn kwao ndio maskini.
 
Mimi nina miaka 30 sija wai kusikia kwetu kuna kikao cha Familia. Dhaidi ya kukutana kwenye misiba tu. Nyinyi muda wa kukaa kwenye vikao munaupata wapi
 
Tunatafuta pesa kaka lakini hazikutani na za mwezi ulopita ila bado tunatafuta tu
 
Kumshauri mtu atafute pesa ni viashiria vya "mshauri" kuishiwa ushauri wa maana na kujificha kwenye kivuli Cha kushauri wenzie watafute pesa. Hivi kutafta pesa inahitaji ushauriwe ? Hapo inatakiwa utoe mbinu sio ushauri huo wa kidwazi.
 
Mara nyingi haya ni maneno ya wasio na pesa. Ukiwa na pesa ndio utagundua pesa sio kila kitu.
Umeongea kitu kikubwa .. najua unakumbuka harakat zangu humu jf ilaa nimegundua pesa siyo kila kitu😰
 
Back
Top Bottom