[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafiti sijafanya wala kufuatilia kuhusu hilo, ila nimekumbuka enzi zangu za uwindaji kuna siku nilimuwinda kunguru nikajaribu kumla, (alikua mtamu kama kware).
Mziki nilioupata ni KIU, nilikunywa maji karibia mto ukauke (nimeongeza chumvi).
Hili ni swali napenda tu kujua tafiti zinasemaje kuhusu ulaji wa nyama ya ndege huyu.
Amekuwa kero kila kona na walio wengi wanajua kero zake sasa sitaki kuzungumzia hilo ila napenda kujua kwa yeyote anayejua kama ulaji wa nyama yake una madhara yoyoye kiafya.
Ikiwa ina madhara kiafya basi tuendelee tu kuikabili adhaa ya ndege huyu, ila kama hana madhara basi tujuzwe tujifarij na nyama yake. Ni hayo tu
Ùmeanza zogo sasa. Acha sabato ipite kwanza ndio tutawananga vizuri hawa wala Nguruwe[emoji1783][emoji1783]Kula tu mbona nguruwe ni haramu mnakula ,
Na mnatumia aya za biblia kupotosha kuwa mmeruhusiwa kula kila mnyama na ndege
Mkuu hili la kusema hana damu ni porojo za mtaani tu. Huwa wana damu.Nyama ya kunguru ni sumu haifai kuliwa na binadamu. Unajua kunguru hana damu kama ndege wengine.