Tafasiri yangu katika picha hii?

hiyo picha inamuendelezo uyo ndege alidakwa na uyo mbwa alitua upande wa pili kuna jiwe lingine kama ilo
 
Kamatia fursa hata Kama ni ngumu kiasi gani pale inapojitokeza
 
Udhairu wa mwenzako waweza kua kuleta mabhara kwako
 
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…