Tafakuri ya yajayo..!!!

yan katika siku ulizoniangusha ndio leo

yani mamlaka zifanya win win situation na nani??

wahuni fulan wanotukana mitandaoni?

yani mtu anitukanie hadi mama angu mitandaoni kwa madai yake yasiyo na kichwa wala miguu halafu nikae naye chini never?

kaka jiulize kwann africa mashariki nzima upinzani unaopotezewa na jumuiya za kimataifa ukitoa zile taasisi mamluki ni chama cha demokrasia? basi jua hadi kwa sasa hoja zao zote hazina mashiko na vyote wanavyolalamikia havimake sence .

namalizia kwa kusema hizi kelele zinakera sana maana wote tunajua kuwa tarehe 26 hakuna mtanzania mwenye guts ya kuingia barabaran sasa kwann muendelee kutupigia kelele humu mitandaoni...

na yule kiranja wenu kwann anajificha nyuma ya keyboard kama mimi hapa akati anajiita mwanaharakati...
 
Naona umekuja na reply ya kawaida kabisa ya kutuhumu na kuhukumu lakini hujajibu swali la msingi kwenye hii mada....
Chukua muda wa kurudia kusoma tena nilichoandika... Nimesema tusimame na hoja bila kuegemea upande... Hili nimeliandika makusudi kabisa mwanzoni kabisa mwa mada ili kuepusha mitazamo kama huu wako
 
Naikumbuka sana
Tu focus na muktadha wa mada... Tujibu inapobidi kufanya hivyo na kuangalia unamjibu nani na kwa nini.... Kumbuka hapa hapa tuna great thinkers na great sinkers
 
264 ndio namba ya bahati yani tarehe 26/4/2018 mshana usituangushe tutoke hali si shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…