Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,550
- 4,411
Inafikilisha sanaHizo ni hadithi tu.
"Mungu alisema Tuumbe mtu kwa mfano wetu".
Mungu alikuwa na nani? Au wako wa ngapi Miungu?
Walimuumba Adam kwa mfano wao, kisha waka muumba Hawa kutoka ubavu wa Adam.
Eva ni mfano wa nani?
Shetani alitupwa duniani, lakini alifika busyani ya Eden kuwa rubini Adam na Hawa, hiyo Eden iko Duniani?
Adam na hawa nao walivyo kula tunda la mti wa kati, Mungu aliwafukuza Kutoka bustani ya Eden, nani alibaki huko Eden na Eden iko wapi Mbinguni au Duniani?
Hapana kabla na baada walikua wanaendelea kuzaa watoto wengine na sio kwamba walikua hao tu, ila kisa chao ndio kiliwasimulia hao tu, unajua biblia ni imeandikwa kwa maneno fulani fikirishi sanaAbeli akafa wakabaki Mtu tatu!!
Kaini alizaa a Dadaake na ndio kisa cha ugomvi uliopeelekea kifo cha Abel kwakua walikua wakimgombania.Kaini alimuua Abeli, kisha akafukuzwa na kwenda kuishi nchi ya mbali na kule akaanzisha uzao wake!!🤔
Je Kaini alimuoa nani kule nchi ya mbali? Alizaa na nani?🤷🏿
Ikiwa Dunia ilikuwa na Adam & Eva
(Watu wawili tu)
Nao wakazaa Kaini & Abeli
(Wakawa 4)
Abeli akafa wakabaki Mtu tatu!!
Kaini Alizaa na nani kule nchi ya mbali?
Kitabu kinasema baadae
Adam & Eva walimzaa Seth na baadae wakazaa watoto wengine (BAADAE)🤔
Hapo lakini Kaini tayari alishaanzisha uzao wake! Je Alianzisha na nani?🤔
Inawezekana Adam & Hawa hawakuwa watu wa kwanza duniani hapa, tayari dunia ilishakuwa na watu kabla yao?🤔
Au inawezekana Eva hakuwa mwanamke wa kwanza kwa Adamu, tayari Adamu alishakuwa na Ma’mtu mwingine kabla na wakazaa watoto?🤔
Au je mwanamke huyo ndo’ yule LILITH?🤔
Kivyovyote vile Kaini alilala na Sister Ake!!View attachment 3444703
Haya maswali ukiimuuliza yule Askofu atakwambia Adamu ndio Hawa na Hawa ndio Adamu wanachotofautiana ni via vya uzazi tu ila kitu ni kile kile yaan hawana tofauti yoyote anachoweza kufanya Adamu hata Hawa anaweza kukifanya hilo ndilo jibu lake la mkazo zaidi anasimamiaga hapo.Hizo ni hadithi tu.
"Mungu alisema Tuumbe mtu kwa mfano wetu".
Mungu alikuwa na nani? Au wako wa ngapi Miungu?
Walimuumba Adam kwa mfano wao, kisha waka muumba Hawa kutoka ubavu wa Adam.
Eva ni mfano wa nani?
Shetani alitupwa duniani, lakini alifika bustani ya Eden kuwa rubuni Adam na Hawa, hiyo Eden iko Duniani?
Adam na hawa nao walivyo kula tunda la mti wa kati, Mungu aliwafukuza Kutoka bustani ya Eden, nani alibaki huko Eden na Eden iko wapi Mbinguni au Duniani?
Sasa kama shetani alilianzisha timbwili Ilikuwaje Adam na Hawa nao watupwe duniani? Au kwa Mungu hakuna mahakama na sheria kuangali nani mkorofi/mkosefu ni ikatenda Haki?Haya maswali ukiimuuliza yule Askofu atakwambia Adamu ndio Hawa na Hawa ndio Adamu wanachotofautiana ni via vya uzazi tu ila kitu ni kile kile yaan hawana tofauti yoyote anachoweza kufanya Adamu hata Hawa anaweza kukifanya hilo ndilo jibu lake la mkazo zaidi anasimamiaga hapo.
Hapo kwa Shetani atakwambia kwamba Shetani alikua Malaika aliependwa na Mungu sana, ni km mtoto wa Mwisho anavyopendwa na kile walichopewa Adamu na Hawa yeye alitegemea atapewa yeye yaan yeye alitaka yeye ndio awe wa Mwisho km kifunga mimba yaan kusiwe na watoto wengine wa Mungu, ndio Watoto wa Mungu, lakini Mungu alipowatoto Watoto weengine wawili Shetani akasema Baba hizi mali nilijua ukifa narithi mimi sasa umeongeza hawa Washeenzi wengine na mali yenyewe ndogo kiasi hiki basi hawa ngoja niwafanyie figisu wafukuzwe nirithi mimi kila kitu, baada ya hapo kukazuka vita kali sana mbinguni na Shetani akashindwa Vita ndio wakatupwa wote duniani.
Kuhusu Edeni ipo wapi MBINGUNI au DUNIANI, atakujibu kwamba Edeni ni hapo hapo ulipo hakuna MBINGUNI wala DUNIANI, ni kwa mujibu wa Askofu sio mimi
1. Kain Alimuoa Nani na Alizaa na Nani?Kaini alimuua Abeli, kisha akafukuzwa na kwenda kuishi nchi ya mbali na kule akaanzisha uzao wake!!🤔
Je Kaini alimuoa nani kule nchi ya mbali? Alizaa na nani?🤷🏿
Ikiwa Dunia ilikuwa na Adam & Eva
(Watu wawili tu)
Nao wakazaa Kaini & Abeli
(Wakawa 4)
Abeli akafa wakabaki Mtu tatu!!
Kaini Alizaa na nani kule nchi ya mbali?
Kitabu kinasema baadae
Adam & Eva walimzaa Seth na baadae wakazaa watoto wengine (BAADAE)🤔
Hapo lakini Kaini tayari alishaanzisha uzao wake! Je Alianzisha na nani?🤔
Inawezekana Adam & Hawa hawakuwa watu wa kwanza duniani hapa, tayari dunia ilishakuwa na watu kabla yao?🤔
Au inawezekana Eva hakuwa mwanamke wa kwanza kwa Adamu, tayari Adamu alishakuwa na Ma’mtu mwingine kabla na wakazaa watoto?🤔
Au je mwanamke huyo ndo’ yule LILITH?🤔
Kivyovyote vile Kaini alilala na Sister Ake!!View attachment 3444703
Kwa kweli maswali yako haya Askofu hapendi kuulizwa maana yanafikirisha sana ila pia hujazungumzia ile kauli ya alichounganisha Mungu pinadamu asitenganishe hio sentensi Askofu anaitumia sana kwenye kuelezea mada ya Ndoa kwamba mfungishaji wa ndoa wa kwanza alikua ni Mungu mwenyeweSasa kama shetani alilianzisha timbwili Ilikuwaje Adam na Hawa nao watupwe duniani? Au kwa Mungu hakuna mahakama na sheria kuangali nani mkorofi/mkosefu ni ikatenda Haki?
Tunaambiwa Adam aliishi Eden na Hawa ila waliambiwa wale kila kitu isipokuwa matunda ya mti wa kati kati.
Shetani alikuja akamwambia Hawa usiwe fala kula uone, akala akaona kisga akamfuata Adam na kumshawishi naye ale aone, naye hskufanya ajizi akala wote wakaona mengi na hata kujua kwamba wako uchi.
Kwanini hakuwapa nafasi ya kuwasikiliza ili aelewe walichokifanya haikuwa ridhaa yao bali walidanganywa?!
Ila sisi tunaambiwa Mungu ana huruma, tukitubu tu anatusamehe, lakini hakuwasamehe Adam na Hawa.
Au kuna maelezo ya kesi na hukumu hayakupatikana wakati wa uandishi wa biblia.
Labda ndio ule msemo unasema , shetani wa mtu ni mtuEti Mungu alimtupa Shetani duniani na sisi wanadamu viumbe wake wapenda nasi tuko duniani.
Kwanini shetani asingetupwa Mercury au Jupiter ili kumtenganisha na wanadamu?
Kwa mapenzi yake alituchanganya na shetani halafu siku ya mwisho aje atuhukumu, hiyo inakuingia akilini?
Usikute wanadamu ndiye shetani mwenyewe, au mwrnzetu uwe uliwahi kumuona shetani dunia hii.
Kaini alimuua Abeli, kisha akafukuzwa na kwenda kuishi nchi ya mbali na kule akaanzisha uzao wake!!🤔
Je Kaini alimuoa nani kule nchi ya mbali? Alizaa na nani?🤷🏿
Ikiwa Dunia ilikuwa na Adam & Eva
(Watu wawili tu)
Nao wakazaa Kaini & Abeli
(Wakawa 4)
Abeli akafa wakabaki Mtu tatu!!
Kaini Alizaa na nani kule nchi ya mbali?
Kitabu kinasema baadae
Adam & Eva walimzaa Seth na baadae wakazaa watoto wengine (BAADAE)🤔
Hapo lakini Kaini tayari alishaanzisha uzao wake! Je Alianzisha na nani?🤔
Inawezekana Adam & Hawa hawakuwa watu wa kwanza duniani hapa, tayari dunia ilishakuwa na watu kabla yao?🤔
Au inawezekana Eva hakuwa mwanamke wa kwanza kwa Adamu, tayari Adamu alishakuwa na Ma’mtu mwingine kabla na wakazaa watoto?🤔
Au je mwanamke huyo ndo’ yule LILITH?🤔
Kivyovyote vile Kaini alilala na Sister Ake!!View attachment 3444703
Sisi au ww mkuuTatizo mnaisoma biblia kama novel, kwa mtazamo huu mtafeli pakubwa
Una akili sana 🤣🤣Hapana kabla na baada walikua wanaendelea kuzaa watoto wengine na sio kwamba walikua hao tu, ila kisa chao ndio kiliwasimulia hao tu, unajua biblia ni imeandikwa kwa maneno fulani fikirishi sana
Biblia ya zamani ilikua inamtaja roho mtakatifu km holy ghost ila baadae walipokaa wakalemba maneno kwamba ni holy spirit
Sasa issue inakuja ni pale watu walipohoji kwamba mwili wa Yesu haukuwepo kaburini ila mwili huo huo unaweza kupenya kwenye kuta za nyumba bila kufungua mlango mbaya zaidi wakasema mwili huo ukapaa na ulionekana na wanafunzi wake ukipaa, kiukweli kilichokua kinasimuliwa hapo ni mzimu wa Yesu sio mwili halisi halisia wa Yesu, kilichokua kinazungumziwa ni Mzimu.
Kwa hio leo hii ukiambiwa unaabudu Mzimu wa Yesu aliekwishakufa usikatae ndio maana tamaduni imeendelea mpaka leo kwa wale wenye imani fulani wanaabudu mizimu ya waliokufa kwa kuwaita watakatifu, utasikia wakiimba Mtakatifu fulani utuombee hapo wanaiambia mizimu
Ikiwa tunaenda kwa msitari wa Biblia pekee → Kaini alimuoa dada yake (au mjukuu wa Adamu na Eva).Ni hivi
Baada ya Kaini kumuua ndugu yake Abeli (Mwanzo 4:8), Mungu alimlaani na kumwondoa katika uso wa nchi hiyo.
Kaini akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki mwa Edeni (Mwanzo 4:16).
Huko akaoa na kuzaa watoto.
Swali kubwa: Kaini alimuoa nani, wakati kulikuwa na watu wachache duniani?
1. Mtazamo wa Biblia
Biblia haisemi moja kwa moja ni nani aliyekuwa mke wa Kaini.
Lakini Mwanzo 5:4 unasema: “Adamu akaishi miaka 800 baada ya kumzaa Seti, akazaa wana na binti.”
Hii inamaanisha Adamu na Hawa walizaa watoto wengi zaidi (wana na binti) kuliko wale wachache waliotajwa majina.
Kwa hiyo mke wa Kaini aliweza kuwa dada yake au mjamaa wake wa karibu.
2. Kwa nini ilikuwa sawa wakati huo?
Mwanzo wa mwanadamu, kulikuwa hakuna sheria zilizokataza ndugu kuoana.
Sheria dhidi ya ndoa za kindugu zilitolewa baadaye katika Torati (Mambo ya Walawi 18).
Pia, wakati huo kizazi kilikuwa karibu sana na ukamilifu wa maumbile ya asili, hivyo matatizo ya vinasaba (genetic defects) hayakuwa makubwa kama yalivyo sasa.
Kwa ufupi:
Kaini alipofukuzwa, alienda nchi ya Nodi na akaoa mmoja wa ndugu zake wa kike (dada au mjukuu wa Adamu na Hawa). Biblia inasema Adamu na Hawa walizaa watoto wengi, ila haikuwataja wote kwa majina.
BibliaEti Mungu alimtupa Shetani duniani na sisi wanadamu viumbe wake wapenda nasi tuko duniani.
Kwanini shetani asingetupwa Mercury au Jupiter ili kumtenganisha na wanadamu?
Kwa mapenzi yake alituchanganya na shetani halafu siku ya mwisho aje atuhukumu, hiyo inakuingia akilini?
Usikute wanadamu ndiye shetani mwenyewe, au mwrnzetu uwe uliwahi kumuona shetani dunia hii.
Huu upotoshaji tunataka clarity.Biblia
Ukimfuatilia Mungu wa Agano la Kale kisha ukaja ukamfuatilia Mungu wa Agano Jipya, utaelewa jambo kwa mujibu wa Askofu
Askofu hua hamzungumziagi sana Shetani ni mara chache mno kumsikia Askofu akimzungumzia Shetani maana hapo kwa Shetani ukimbananisha Askofu unamtoa knockout,
Yes of course kwa maelezo ya Askofu, wewe una kishetani chako kimoja pembeni pamoja na kimalaika chako kimoja pembeni hicho kishetani kazi yake ni kukushauri ufanye matendo ya jino kwa jino wamekuzingua wapeleekee gharika, wamekuzingua waue uzaliwa wao wa kwanza, halafu kuna kimalaika upande wa pili kinakwambia mpende jirani yako km unavyojipenda akikupiga shavu la kulia mgeuzie la kushoto akuongezee lingine, akichukua koti lako mpe na shati pia
Sasa hicho kishetani na hicho kimalaika ndivyo vinavyokuwakilisha wewe, sasa hivi mashetani wameumbiwa majehana na kuzimu za duniani ukiua unapelekwa mahakamani baadae ya kesi unapelekwa kuzimu au jehanamu ukamuone shetani anavyoishi ishi hapa duniani, hio ndio kuzimu
Askofu anaenda mbali anasema hakuna tofauti ya mbinguni na duniani, hapo hapo ulipo ndio mbinguni hapohapo ulipo ndio duniani, wewe ni Mungu Mdogo kwenye umbo la mwili ila huna unachoweza kumzidi Mungu Mkuu
Askofu akaishia hapo
Kwa mujibu wa Askofu mpakwa mafutaHuu upotoshaji tunataka clarity.