Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,750
- 61,383
Muda utafika, haiepukiki 😀Sisi 40 tule tu maisha tutatafakari miaka ijayo😀😀
Hii haiepukiki, kila mmoja ataguswa kwa muda wakeVijana wanao kataa ndoa huu uzi hauwahusu.
We Mswati wa JF unafanya uliyoyaandika?? We si kila siku uko na vyombo vipya unahonga na akati una mke na watoto kibao kwenye sehemu ulizowekeza??
Lakini kama tabia za muwasilishaji neno ni za hovyo, hata injili atakayohubiri haitakuwa na impact yoyote ndani yangu maana neno ili liwe hai na liumbike lazima Roho Mtakatifu aliumbe ndani yangu sasa kama muwasilishaji nakutana nae kidimbwi na najua ishu zake atakuwa kama ananipigia ngoma tu..situmiagi balimi kaka mswati..🤸Nami nauliza swali, unapoenda kusali huwa unasikiliza neno la bwana au unaangalia tabia za muwasilishaji wa neno? Ukijibu vizuri, nakununulia sasa hivi balimi 😀 😀
Kama ni hivyo, mambo mengi yatakuwa ni batili, ila tunavumilia tu; utasikilizaje neno kwa mtu aliyepiga madogi staili usiku 😀 😀Lakini kama tabia za muwasilishaji neno ni za hovyo, hata injili atakayohubiri haitakuwa na impact yoyote ndani yangu maana neno ili liwe hai na liumbike lazima Roho Mtakatifu aliumbe ndani yangu sasa kama muwasilishaji nakutana nae kidimbwi na najua ishu zake atakuwa kama ananipigia ngoma tu..situmiagi balimi kaka mswati..🤸
🌝🌝Kama ni hivyo, mambo mengi yatakuwa ni batili, ila tunavumilia tu; utasikilizaje neno kwa mtu aliyepiga madogi staili usiku 😀 😀
Askofu gwajima akija kukuhubiria usizini utamwelewa kweli mkuu?Nami nauliza swali, unapoenda kusali huwa unasikiliza neno la bwana au unaangalia tabia za muwasilishaji wa neno? Ukijibu vizuri, nakununulia sasa hivi balimi 😀 😀
Sawa mkuu, ukumbuke kuchangia fungu la 10 bila kupunjaFact Mtumishi Equation x
Ni wangapi katika dunia hii hawafanyi tendo?Askofu gwajima akija kukuhubiria usizini utamwelewa kweli mkuu?
Wengi wanafanya tendo. Lkn mchungaji mzinzi akwambie acha uzinzi kikawaida utampuuza.Ni wangapi katika dunia hii hawafanyi tendo?
Akikuambia uache uzinzi, ni kwa faida yake au faida yako?Wengi wanafanya tendo. Lkn mchungaji mzinzi akwambie acha uzinzi kikawaida utampuuza.
Labda kama atatubu mbele ya hadhara na kuelezea madhara ya uzinzi.
Ndio maana baba akiwa mlevi atashindwa kukemea ulevi kwa watoto. Watoto watamcheka na wanaweza wakawa walevi zaidi yake
Kikawaida utampuuza.Akikuambia uache uzinzi, ni kwa faida yake au faida yako?