Tafakuri nzito kwa CCM na dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakuri nzito kwa CCM na dola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Guraa, Jun 5, 2011.

 1. G

  Guraa Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NIMEFUATILIA KWA MAKINI YANAYOENDELEA HAPA NCHINI. HIVI CHAMA CHA MAGAMBA KIMESHATAFAKARI MAMBO YAFUATAYO?

  1. Hivi hawaelewi kuwa 2015 wapiganaji wa kweli tukichukua nchi ni watu wangapi wataihama nchi hii kwa kuogopa kukamatwa kwa uhalifu wa namna mbali mbali?
  2. Mahakama ya The Hague mbona itajaa wahalifu kutoka Tanzania?
  3. Na ndio maana hawataki mabadiliko ya kweli, wako tayari kutetea maslahi ya nchi, hawako tayari kuona CDM wanachukua nchi hii, walahi nawaambia CCM hawatakuwa tayari kuachia ngazi hata kama Chadema watashinda kwa asilimia 95% ya kura. Tujiandae kwa yaleeeeee yaliyotokea Ivory Coast kwa Gbaghbo.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nina mashaka mazito sana moyoni mwangu kama JK ataifikisha hii nchi salama ifikapo 2015..kuna kila dalili ya kuwa nchi hii itaingia kwenye matatizo mazito sana....let us wait and see !!!
   
 3. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hakuna sheria inayozuia kuota mchana !
   
 4. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mlijisahau kipindi kirefu sasa saizi mnatapata tu nchi mmeshindwa kuiongoza sasa cdm inawapelekesha usingizi hamlali kabisa na huyo mswahili wenu kazi mnayo. mpende msipende hampendwi tena na watanzania nendeni mkacheze bao na kunywa kahawa vijiweni.
   
 5. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  watawala nchi imewashinda tayari,polisi nao hawana akili za kufikiria. watawala ndo wanafikiria kwa niaba ya polisi, hapo unategemea nn km sio kukamatwa na kupigwa risasi kila mara?
   
 6. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Pia kulewa asubuhi ila ukweli ni kwamba ccm iko icu. Kwanza huyu mmeru L watamweza?
   
Loading...