jamaa wanakoroma ccm, ccm, ccm wamezaliwa ndani ya chama, wamekulia ndani ya chama, wamesoma ndani ya chama, wanafanya kazi ndani ya chama, wankula hela za wanachama so wakishiba wanalala na kuroma ccm ccm ccm cccm
captaiiiiiiin. ndyo noma mana kama vile hata huko jeshini alifunzwa na kusinzia pia mana kama ni alama basi anayo A+ wakali wasila anakarai. nwy hayo ndiyo maisha yalivo ndani ya ccm raha sana
Captain ni zaidi maana hata akiwa macho hatulii kwenye kiti aidha anaongea ongea na kuzungusha kiti au anachezea simu yake.. Lakini upande wa mzee W. yeye lazima azidiwe na usingizi lakini ni mchapa kazi.Nahisi wanapiga diet za nguvu lkn mazoezi sifuri.
Kila moja kivyake, mmoja mbele ya Mwenyekiti wa CCM anateremka chini na kuburudisha na mwengine ni bingwa wa kujibu wapinzani pale anapoamka. Wapinzani hupata relief pale anapokuwa kwenye hali hiyo!