REJEA MADA TAJWA HAPO JUU.
Habari zenu wanajamvi.
Moja kati ya changamoto nilizowahi kutana nazo kwenye mahusiano ni pale mnapoachana na msichana/binti/mwanamke mliyekuwa kwenye mahusiano halafu ghafla bin vuu unamkuta kwenye mahusiano mengine,wataalam wa mahusiano HIVI NI KWA NINI REBOUND RELATIONSHIP?? Ni nini hasa inasababisha hali hii?
NOTE:Changamoto kubwa ni anapokuwa kwenye mahusiano hayo mapya anajaribu sana kukuonyesha kuwa yuko kwenye mahusiano yan kujipitisha pitisha mahala ambapo anajua atakuona na ukifanikiwa na wewe kuwa na mpenzi mwingine anaanza figisu kukuharibia kwa mpenzi wako mpya.
WOMEN nini hiki mnafanya?