Tafakuri jadidi

Daaa huyu! inatakiwa apigwe moto wa majani mabichi.
 
Ukimkuta anapigana na simba saidia simba

...hivi vidingi ni vya kuvipiga risasi tu

Atageuka mwenye chongo sasa

Mtemi hawezekani huyu ni nyoka mwenye makengeza
Tunapoelekea hawa jamaa wanaokula ela za umma alafu wanazitumia mahakama kwa kuweka vigingi vya kisheria ipo siku wananchi watakuwa wanawapiga mawe nje ya mahakama yaani ni sawa na mtu amekutia ndani alafu anasimama mahakamani kujidai hujampa chochote huku akijua kuleta ushahidi itakuwa shida kwako, kwa situation kam hii machungu inakuwa mara 450
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…