Huyo mzee wetu anaona mbali kwani lile jenga kukaa pale ndio lina zalisha umeme hata lingeamia wap yote sw na huduma zitaendelea tu morogoro road ni barabara kubwa sn hata wangeweka Njian 5 kwenda 5 kurudi pia ingefaa sn mtu huwez unatoka mkoa 2 unawaza dar foleni jmn wanunga mkono hoja MAKOFI TAFADHALI