Vyeo hulevya. Inafanana na hii:
Jan 2016
"Vijana mjiajiri msitegemee kuajiriwa"-Dr Rajab Rutengwe
March 2016
''Sina pa kushika wala kukamata masikini mimi ,nimekosa mimi,nimekosa mimi,nimekosa sana nisamehe JPM unikumbuke katika ufalme wako''-Dr Rajab Rutengwe